Ankal akipigwa intavyuu na bibie Salama Hamad studio za TV ya Channel 10 leo kwa ajili ya kipindi kipya cha mambo ya kumeremeta na minuso kiitwacho 'MY WEDDING DAY' kinachorushwa kila Jumapili saa 12 jioni na marudio saa moja na nusu Jumanne. Bi. Salama alimwita ankal aongelee mambo ya upigaji picha za minuso ya harusi....
Bibia Salama Hamad anasema 'My Wedding Day' cha channel Ten ni kipindi Kilicho Bora na anauliza si mnaonaaaaa???
wadau wa channel 10 pamoja na mbunge mtarajwia Cyprian Musiba (nyuma kulia) wakijiunga na ankal na salama Studio
Wapiganaji wengine wa Channel Ten wanajiunga na ankal na Salama studio. Hakika Channel Ten siku hizi imesheheni vijana wazuri (kwa kazi..) wengi tu








































































Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2010

    Ankal vipi tena mbona hiyo picha ya kwanza unatumbua macho kwenye kifua cha Bi Salama, kama namna gani vipi wajomba tupe chetu kabisa "turekebishe"

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2010

    ankal,
    Kitambi kileeee kimekukamata. Dayati na tizi papaa

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2010

    Vodacom 4-1 Magic FM

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 06, 2010

    Tunashukuru lakini uvivu wa ubunifu unatawala watz wengi-Baada ya TBC kufanya vizuri katika kipindi chao cha minuzo wengine mmeanza

    Yale yale ya clouds na kipindi chao kinachorushwa saa 3Asub-6Mchana Juma3 hadi Ijumaa cha wale kina dada- station kibao nazo zikaanza kipindi cha namna hio

    Tujaribu kuwa wabunifu sio kuiga

    ReplyDelete
  5. Kaka hilo p*ja lilivyo jeupe na laini hivyo uliweza kuvumilia kaka!?!

    Mbona kama hapo chini ya tumbo pako hovyo kidogo?

    Mie mwenzako huku tu niko HOI

    ReplyDelete
  6. Ila Bongo kuna vitu jama...dah!. Huyo Salama si mchezo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 06, 2010

    anonymous wa kwanza

    we wacha tu!!!

    tena umeona jinsi ankal

    anavyozuga kwa kufunga mikono kama Mufti fulani hivi?

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 06, 2010

    noma zaidi amebana miguu kwa kukunja 4, hii inaashiria jongwe alishag'amua @&*/?$

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 06, 2010

    I am looking forward to this MY WEDDING DAY thing, sounds interesting. 4:1 = 1:4 ...

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 06, 2010

    Hostel Hoyeee! Engineering, bahati haiji mara mbili! Utajiju!! Lol! Jokes!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 07, 2010

    Learned Brother (Mabibo Hostel / Magodigodi) Hoyee!

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 07, 2010

    MHESHIMIWA MKUU WA WILAYA, HONGERA.
    NI UJIKO WA AINA YAKE KUPATA KISMATI CHA KUHOJIWA NA DA SALAMA.
    SASA NA SISI PIA NI WANAJAMAII, TUFANYE MBINU GANI KUPATA FURSA YA KUHOJIWA NA DA SALAMA?
    MAANA UONGO MBAYA, TUNACHIRIZIKWA NA MATE, KIMWANA SI MCHEZO.
    KAMA MHESHIMIWA UNAWEZA KUTUPIGIA NDOGO NDOGO TWAMBIE, TUTANUNUA TIKETI ILI TUSAFIRI KUJA KUHOJIWA.
    TENA TUNA MENGI TU YA KUELEZEA, HATUTABABAIKA.
    HATA KWA MALIPO KIDOGO TUKO TAYARI.
    MAASHALLAH DA SALAMA
    Mndengereko, Ukerewe

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 07, 2010

    Asiyekuwepo na lake halipo.Vya bongo mtaishia kula kwa picha.Tuachieni wenyewe na ankala wetu tunajilia taratibu!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 07, 2010

    hhahahaaaa tih tih kweli ankal mwisho wewe!!hahahahhaa

    sina la kusema hii sentensi yako"..vijana wazuri(kwa kazi)"mbona wajishuku??

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 07, 2010

    ankal kiboko ilo bao la kisigino,
    na unayaweza kuuza watu?sasa ona watu wanavochuruzika udenda kwa my dada

    na icho kiguo chake,,,dada uko juu

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 07, 2010

    ha haa mbavu zangu mie.nikitakaga kucheka huwa nakuja Michuzi kusoma comments, u made my day guys

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 07, 2010

    Jamani huyo Da Salama naona bomba!! Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya naomba address ya huyo binti tafadhari. Mie msukuma wa Mwanza, wilaya ya Magu. Hapo wazazi wa Salama tayari wana ng'ombe 100 za mahari. Mimi ni mkristu niko tayari kubadili dini niwe mwislamu ili mradi nimpatae Da Salama.
    Naomba adress tafadhari!!
    Mwathirika wa mapenzi

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 07, 2010

    Huyu Salama hana pozi tofauti? Kote hilo hilo! Michu unapenda 'flowers' eeh?

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 07, 2010

    mdauz wa pajaz umefia wappi? unapitwa hukuuu

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 07, 2010

    sasa si ndo hapo! mtoto ana pozi moja tu picha zote,vp? Au ni mdoli huo ankal unatuzugia tu hapa?

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 07, 2010

    uwiii bado nacheka,,,jamani humu??

    sasa wee wa mwanza khaaaa

    mdau wa pajazzz kweli kafa!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...