Home
Unlabelled
ankal atembelea studio za channel Ten
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal vipi tena mbona hiyo picha ya kwanza unatumbua macho kwenye kifua cha Bi Salama, kama namna gani vipi wajomba tupe chetu kabisa "turekebishe"
ReplyDeleteankal,
ReplyDeleteKitambi kileeee kimekukamata. Dayati na tizi papaa
Vodacom 4-1 Magic FM
ReplyDeleteTunashukuru lakini uvivu wa ubunifu unatawala watz wengi-Baada ya TBC kufanya vizuri katika kipindi chao cha minuzo wengine mmeanza
ReplyDeleteYale yale ya clouds na kipindi chao kinachorushwa saa 3Asub-6Mchana Juma3 hadi Ijumaa cha wale kina dada- station kibao nazo zikaanza kipindi cha namna hio
Tujaribu kuwa wabunifu sio kuiga
Kaka hilo p*ja lilivyo jeupe na laini hivyo uliweza kuvumilia kaka!?!
ReplyDeleteMbona kama hapo chini ya tumbo pako hovyo kidogo?
Mie mwenzako huku tu niko HOI
Ila Bongo kuna vitu jama...dah!. Huyo Salama si mchezo.
ReplyDeleteanonymous wa kwanza
ReplyDeletewe wacha tu!!!
tena umeona jinsi ankal
anavyozuga kwa kufunga mikono kama Mufti fulani hivi?
(US Blogger)
noma zaidi amebana miguu kwa kukunja 4, hii inaashiria jongwe alishag'amua @&*/?$
ReplyDeleteI am looking forward to this MY WEDDING DAY thing, sounds interesting. 4:1 = 1:4 ...
ReplyDeleteHostel Hoyeee! Engineering, bahati haiji mara mbili! Utajiju!! Lol! Jokes!
ReplyDeleteLearned Brother (Mabibo Hostel / Magodigodi) Hoyee!
ReplyDeleteMHESHIMIWA MKUU WA WILAYA, HONGERA.
ReplyDeleteNI UJIKO WA AINA YAKE KUPATA KISMATI CHA KUHOJIWA NA DA SALAMA.
SASA NA SISI PIA NI WANAJAMAII, TUFANYE MBINU GANI KUPATA FURSA YA KUHOJIWA NA DA SALAMA?
MAANA UONGO MBAYA, TUNACHIRIZIKWA NA MATE, KIMWANA SI MCHEZO.
KAMA MHESHIMIWA UNAWEZA KUTUPIGIA NDOGO NDOGO TWAMBIE, TUTANUNUA TIKETI ILI TUSAFIRI KUJA KUHOJIWA.
TENA TUNA MENGI TU YA KUELEZEA, HATUTABABAIKA.
HATA KWA MALIPO KIDOGO TUKO TAYARI.
MAASHALLAH DA SALAMA
Mndengereko, Ukerewe
Asiyekuwepo na lake halipo.Vya bongo mtaishia kula kwa picha.Tuachieni wenyewe na ankala wetu tunajilia taratibu!
ReplyDeletehhahahaaaa tih tih kweli ankal mwisho wewe!!hahahahhaa
ReplyDeletesina la kusema hii sentensi yako"..vijana wazuri(kwa kazi)"mbona wajishuku??
ankal kiboko ilo bao la kisigino,
ReplyDeletena unayaweza kuuza watu?sasa ona watu wanavochuruzika udenda kwa my dada
na icho kiguo chake,,,dada uko juu
ha haa mbavu zangu mie.nikitakaga kucheka huwa nakuja Michuzi kusoma comments, u made my day guys
ReplyDeleteJamani huyo Da Salama naona bomba!! Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya naomba address ya huyo binti tafadhari. Mie msukuma wa Mwanza, wilaya ya Magu. Hapo wazazi wa Salama tayari wana ng'ombe 100 za mahari. Mimi ni mkristu niko tayari kubadili dini niwe mwislamu ili mradi nimpatae Da Salama.
ReplyDeleteNaomba adress tafadhari!!
Mwathirika wa mapenzi
Huyu Salama hana pozi tofauti? Kote hilo hilo! Michu unapenda 'flowers' eeh?
ReplyDeletemdauz wa pajaz umefia wappi? unapitwa hukuuu
ReplyDeletesasa si ndo hapo! mtoto ana pozi moja tu picha zote,vp? Au ni mdoli huo ankal unatuzugia tu hapa?
ReplyDeleteuwiii bado nacheka,,,jamani humu??
ReplyDeletesasa wee wa mwanza khaaaa
mdau wa pajazzz kweli kafa!!