ankal akiwa na wadau toka canada ambao wametembelea ofisi za Daily News na Habari Leo katika ziara yao ya wiki mbili inayoisha leo. Toka kulia ni Dave Arthur ambaye ni mhadhiri wa computer network technology katika Shool of Applied Atrs & New Media katika campus ya Chuo cha Burridge kilichopo Yarmouth, Nova Scotia, Canada. Wanaofuatia ni Harrison Burton ambaye ni mpiga picha za mnato (stills) na Greg Rozon mtaalam wa picha za video na filamu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2010

    ankal ulitembelewa wewe au walikuwa ni wageni wa daily news ukapata wasaa wa kupiga nao picha?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2010

    ANKO KUMBE UKITEMBELEWA NA WAGENI TOKA CANADA UNAVAA SHATI ZURI HIVYO??MBONA HAPO ZE FULANAAZZ HUKUVAA..LABDA INGEKUWA NGEKEWA..

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2010

    Ankal mbona sura haionekani kama wenzio?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2010

    Ankal Michuzi naona umetoka ki P. D. G - P. D. G.

    ReplyDelete
  5. Anka

    nimependa shati lako....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...