---------------------------------------

"e bwana hawa jamaa wameshaanza kweli inaelekea.
ila hawajatoa tamko la kutulinda sisi tulio kwenda ofisini kwao kuwaambia kua tumepangishwa walio tupangisha nao wanasema tuhame kwenye nyumba zao tarehe 30/05/2010 sasa sijui watamkuta nani. Naomba nyinyi watu wa habari muwaendee hawa watu NHC watoe tamko la kukataza watu kuondolewa kwenye nyumba zao ili wakija watukute
wapate ukweli "

Mdau wa NHC

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2010

    Hii haijakaa vizuri kabisa. Kuna mtu anataka kuwapa ndugu zake hizo nyumba tu...

    Kwani kusublet hairuhusiwi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2010

    ni sawa kabisa kuna jamaa wengine wanapingisha hizo nyumba kwa bei mabaya mpaka laki saba wakati wao wanalipa laki moja kwa mwezi wizi mtupu safi saana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2010

    Na watakao pewa hizo nyumba ni wahindi tu. Hamna kitu hapo. Haya uncle nibanie na hii

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2010

    WEE JAMAA WA JUU UNAULIZA JIBU, ANKAL AU AUNT? KWANI HUJUI KUWA 'SUBLET' IS ILLEGAL?
    HAIRUHUSIWI KU-SUBLET.
    inanyoonekana ulikuwa hufahamu ndio maana umeuliza, ndugu. Kwahiyo nimejibu swali lako kuhusu ku-sublet. NAOMBA KUWAKILISHA. Shukrani.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 21, 2010

    Annon wa may 20 07:21 ni hivi;
    Kisheria ,hata kwenye mkataba imeandikwa hauruhusiwi Kusublet UNLESS kwa maandishi kati ya mpangaji na Mwenye nyumba NHC..Hivyo inaruhusiwa lakini siyo kienyeji!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...