NAIBU KATIBU MKUU WA TUCTA MH. NICHOLAS ERNEST MGAYA MUDA MFUPI ULIOPITA AMEONGEA NA WANAHABARI MAKAO MAKUU YA SHIRIKISHO LA KAZI DUNIANI (ILO) MTAA WA MAKTABA JIJINI DAR NA KUELEZA UPANDE WAKE NA WA UONGOZI WA TUCTA JUU YA SAKATA LA MGOMO SHINIKIZI WALIOITISHA NA KUPELEKEA JK KUTOA KAULI JUU YA HILO ALIPOONGEA NA WAZEE WA DAR JUZI.
HABARI KAMILI BAADAYE KIDOGO...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2010

    Aaah kumbe,sasa ndo naelewa kwanini uchaguzi mkuu wa simba umeota mbawa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2010

    Kazana mzee labda Mungu muweza yote atambadirisha mawazo huyu mzee wetu JK ili watu wa Mungu wapate haki yao.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2010

    kanyaga twende Mgaya tuko nyuma yako and God is ahead of you and our rights.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 07, 2010

    Haki ya nani tutanyanyaswa hadi tukione cha moto otherwise (Mugabe ahamie TZ) kwani kwetu tunanyanyaswa sana wafanyakazi katika sector binafsi, hasa hawa wahindi wameifurahia sana hiyo speach ya JK. Wameshapata sehemu ya kutukomolea.

    Inauma sana jamani na tusipokuwa na umoja tutazidi kunyanyaswa jamani.

    Tumuunge mkono mwenyekiti wetu jamani wafanyakazi.

    Kijazi

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 07, 2010

    kazana mgaya mungu yuko nawe nac twakuunga mkono.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 07, 2010

    kiukweli viongozi wa tz wapo kitapeli hasa rais wetu jk 4 sure kazi yake ni kucheka cheka 2 nothing else leo hii kama rais atatamka kwamba acye weza kufanya kazi kwa mishahara midogo aache kazi hiyo kauli inaonyesha kwamba kwamba yeye rais karidhika kwani ana uhakika ya kula kulala vizuri yeye na familia 100%pamoja na elimu kwahiyo wananchi hatambui inackitisha sana WAHINDI WAMESHIKILIA NCHI KWA KAULI YA RAIS HAKIKA WAFANYAKAZI WATAZIDI KUNYANYASWA NA WAHINDI SIKA ALAFU AACHE KAULI YA KUSEMA KUHUSU UJAMBAZI KWA HALI HII NA KWA KAULI YAKE JK WATU WATASHIKA GUN KUTAFUTA HAKI IPO CKU BILA DAMU KUMWAGIKA TZ HAKUTAKUWA NA HAKI/MAENDELEO/WALA MAISHA BORA HATA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...