Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Ephraim Mafuru akiwapongeza Makamu mwenyekiti wa Simba sc Omari Gumbo (kuume) na Katibu mkuu wake Mwina Kaduguda baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi wa shilingi milioni 38 ikiwa kama zawadi ya Vodacom kwa mshindi wa kwanza wa Ligi Kuu ya Bara. Hafla imefanyika sasa hivi hoteli ya New Africa jijini Dar
Naibu waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Mh. Joel Bendera, akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa Simba SC Omar Gumbo zawadi ya Ubingwa wa Ligi kuu ya Vodacom
Omar Gumbo akipokea zwadi ya kiatu cha dhahabu kwa niaba ya mfungaji bora wa ligi kuu, Mussa Hassan Mgosi wa Simba ambaye kapata pia shilingi milioni mbili


Lukia unapendeza sana siku hizi. Naona wewe ukiongeza weiti unakuwa mzuri sana. lakini usizidi hapo. Zamani nilifikiri we mzee ,kumbe binti wa form six. Washauri wenzio wasijifanye vimbao. Nilikutana na shy rose bhanji naye si uwongo utampenda. zamani naye alifiriwa uzee kumbe duh.....Lukia kweli wewe mzuri saaaaaaaaana. maintain huo msosi usizidishe
ReplyDelete