NAIBU KATIBU MKUU WA TUCTA MH. NICHOLAS ERNEST MGAYA MUDA MFUPI ULIOPITA AMEONGEA NA WANAHABARI MAKAO MAKUU YA SHIRIKISHO LA KAZI DUNIANI (ILO) MTAA WA MAKTABA JIJINI DAR NA KUELEZA UPANDE WAKE NA WA UONGOZI WA TUCTA JUU YA SAKATA LA MGOMO SHINIKIZI WALIOITISHA NA KUPELEKEA JK KUTOA KAULI JUU YA HILO ALIPOONGEA NA WAZEE WA DAR JUZI.
HABARI KAMILI BAADAYE KIDOGO...


Aaah kumbe,sasa ndo naelewa kwanini uchaguzi mkuu wa simba umeota mbawa.
ReplyDeleteKazana mzee labda Mungu muweza yote atambadirisha mawazo huyu mzee wetu JK ili watu wa Mungu wapate haki yao.
ReplyDeletekanyaga twende Mgaya tuko nyuma yako and God is ahead of you and our rights.
ReplyDeleteHaki ya nani tutanyanyaswa hadi tukione cha moto otherwise (Mugabe ahamie TZ) kwani kwetu tunanyanyaswa sana wafanyakazi katika sector binafsi, hasa hawa wahindi wameifurahia sana hiyo speach ya JK. Wameshapata sehemu ya kutukomolea.
ReplyDeleteInauma sana jamani na tusipokuwa na umoja tutazidi kunyanyaswa jamani.
Tumuunge mkono mwenyekiti wetu jamani wafanyakazi.
Kijazi
kazana mgaya mungu yuko nawe nac twakuunga mkono.
ReplyDeletekiukweli viongozi wa tz wapo kitapeli hasa rais wetu jk 4 sure kazi yake ni kucheka cheka 2 nothing else leo hii kama rais atatamka kwamba acye weza kufanya kazi kwa mishahara midogo aache kazi hiyo kauli inaonyesha kwamba kwamba yeye rais karidhika kwani ana uhakika ya kula kulala vizuri yeye na familia 100%pamoja na elimu kwahiyo wananchi hatambui inackitisha sana WAHINDI WAMESHIKILIA NCHI KWA KAULI YA RAIS HAKIKA WAFANYAKAZI WATAZIDI KUNYANYASWA NA WAHINDI SIKA ALAFU AACHE KAULI YA KUSEMA KUHUSU UJAMBAZI KWA HALI HII NA KWA KAULI YAKE JK WATU WATASHIKA GUN KUTAFUTA HAKI IPO CKU BILA DAMU KUMWAGIKA TZ HAKUTAKUWA NA HAKI/MAENDELEO/WALA MAISHA BORA HATA
ReplyDelete