Home
Unlabelled
CBA wamuaga nehemia mchechu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Poor Goat
ReplyDeleteHongera Mhishimiwa! Wafanyakazi wa CBA nao wana visa! wana-mechishia bosi wao mpaka na Mbuzi, mbuzi, kivazi vyote sare sare maua....hhahahaa. Safiii. Mpare anaondoka anamwachia Mpare.
ReplyDeleteNaondoka.
Ikulu wamefanikwa kumweka mtu wanayemtaka..kweli mbongo tambarare!
ReplyDeleteNehemia mimi ni mtanzania ninaishi hapa Dar es Salaam na mfanyakazi katika kampuni moja, sasa mimi naomba nipate nafasi ya kuonana na wewe kwani nina habari za nyumba moja ya NHC ambayo ipo Upanga awali walikuwa wanakaa watanzania wenye asili ya kihindi lakini sasa wamehama na kuhamia kwenye nyumba kubwa ambayo wemewenza kununua funguo, sasa tatizo langu ni kwamba nyumba ile wameweka madareva wao wa magari wanapaki na kulala, mimi ni sina pesa nikiripoti hii nyumba kwa njia za halali nitaikosa lakini nina imani na wewe nikianzia kwako sitaikosa kwani mh. raisi anajua utendaji wako wa kazi ndio maana akakuteua
ReplyDeleteOoh! waosha vinywa .... mnapenda kuhisi mambo... poor nyie loh! eti mpare hhahah .. .. majungu loh! ukabila bongo loh! Ee.. Mwenyezi Mungu tuhurumie...
ReplyDelete