wadau wa chelsea wakifurahia ubingwa wao usiku huu jijini Dar baada ya mchezo wao na wigan kwisha kwa kalamu ya mabao nane mtungi. Man U nao wameshinda kwa kumpiga Stoke City 4-0 ila cha ajabu wadau wao hawakushangilia kabisa... hahahaha
na mdau abdalla ezza wa chelsea club helsinki, finland

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2010

    Nane mtungi mamamama......!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2010

    Man U wamefukuza hadi wamechemsha. Darajani oyee! Tunasubiri trophy nyingine ya FA, ni kama kwenda kumsukuma mlevi vile.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 10, 2010

    Hongera!ila mwandishi amekosea sio "kalamu" ni karamu ya magoli!teh teh teh!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 10, 2010

    Unleash the dragon! Double is in our hand

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 10, 2010

    Hongera sana! migu ya man U imeingia tumboni! inabidi wafanyiwe upasuaji wa haraka sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    simba nao ni kufulia kwa kwenda mbele!!!! 5 - 1 dauh ni aibu!!!!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 10, 2010

    You make me laugh.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 10, 2010

    Mngekuwa mnapenda timu zetu za bongo kama yanga, simba na tukuyu sters namna hii lo mbona tungekuwa mali sana kisoka, waone wanavyoshangilia kama wanaijua hata hiyo chelsea, same on you

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 10, 2010

    Katika mechi mswahili alinifurahisha sana na kunikumbusha mbali aliposema kuwa Wigan wateseka kama mtu aliyevaa kanzu yenye upupu
    Manu pole sana
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 10, 2010

    we anony wa 10:53:00 hebu kafie mbali...aliekwambia watu hawashangilii timu za bongo nani? au unataka kila mtu awe analeta picha huku? na lazima utakuwa man utd wewe....lione kwanza

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 10, 2010

    kweli kabisa anomy wa hapo juu, waafrica na ujinga ujinga tu wa kukaa na kutukuz vitu vya wazungu,ni kweli soka yao nzuri na inavutia, lakini sio mpaka kuashau ligi na timu zetu za nyumbani,siku hizi kila mtu na jezi ya arsenal,chelsea, man u au liver pressure mpaka aibu na mpaka wengine wanafikia hatua y kukabidhi rais wetu mpendwa jezi ya timu ya kigeni tena kwenye state house ya watanzani, tuache ujinga ujinga huu ukoloni mamboleo tupende na soka yetu, hiyo ndio itakuwa changamoto ya kufanya na michzo yetu nasi ikue tufike huko waliko wenzetu, nawakilisha

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 10, 2010

    Na wewe Anony wa Mon May 10, 10:53:00 AM ungekuwa unapenda kutumia lugha yako ya Bongo kiswahili badala ya lugha ya huko zinakotoka timu wanazoshangilia wenzio ungekua mali ki-busara na wala usingepata AIBU ya kuandika SAME ON YOU badala ya SHAME ON YOU..AIBU irudi kwako pia..

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 10, 2010

    ha ha ha chelsea bwn,maneno mengi tatzo hamjazoea ushindiii
    inapendeza lakin ikiwa ushindi unatembea kwa wengne pia thou kwa shida kweli, ila kila siku wakichukua Man mtazidi kuwachukia kumbe ni kiwango tu

    ila nafurahi mmejifunza kitu , tht man sio mchezo wamewapeleka mbaya kiasi kwamba ushind mnaujua mwishoi kabsa ingekuwa Man siku nyingi tushajihakikishia

    Next tunahitaji ushindani wa namna hiii

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 10, 2010

    sasa wewe anonymous wa mon may 10, 10:53 unasema tushangilie simba na yanga kwani kushangilia kwetu ndi kutafanya soka yetu ipande ni mifumo mibovu na soka lenyewe la bongo bovu tu, hata tukizishangilia hizo timu hatuwezi kusababisha zipande kiwango ni jitihada zao wenyewe. halafu nahisi wewe ni shabiki wa man u ndio maana umekasirika chelsea kuchukua lakini ndio hivyo ndugu yangu kila mtu na zamu yake yako labda mwakani

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 10, 2010

    Hongera Chelsea kwa ushindi mnono

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 10, 2010

    Hongera Chelsea kwa ushindi huo mnono

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 10, 2010

    Naona mdau wa 10:50:00 na wa 10:53:00 hajui/hawajui raha ya mpira. Kwanza yeye mwenyewe anashangilia timu gani ya Bongo? Hajui kwamba unaweza kuwa mshabiki wa timu ya nyumbani na ya nje pia.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 10, 2010

    What a day!Jana nlikua siku tamu sana! The Best day of the year 2010 for all Chelsea fans in this planet Earth!
    Blue is the Color, Carlo is the King,Chelsea is the Champiooon!
    Poleni sana msiopenda mpira kwani sidhani kama unaweza kupata kirahisi furaha kama tuliokua nayo fans wa the Blues, Wale mnaoponda sie wapenda soka ya nje muelewe kitu kimoja mpira ni sawa na dini, leo hata ligi yetu ingekua na nguvu duniani ungeona waingereza wanaishangilia sawa sawa na vile wazungu wanavyoishangilia Nigeria, Cameroon, au Ghana kwenye mashindano ya kimataifa. Si ajabu kuona Waingereza au wafaransa wanapenda timu zao na pia ikicheza Brazil wanashangilia. Mfano Mimi napenda timu yangu ya Mtaani kwetu hata michango ya mpira na jezi natoa. Pia ni shabiki wa Simba japo tumefungwa kwa sababu ya uzembe wa viongozi wetu kuweka nguvu kubwa katika kuchagua viongozi na kupunguza hamasa kwa wachezaji(leo mechi kesho uchaguzi si ujinga huo!). Kwenye kabati la nguo nina replica ya Simba, fulana nyeupe imeandikwa kwa maandishi mekundu "MNYAMA. na pia replica ya Chelsea na Taifa stars! So wadau mnaotuponda jua kwamba tunapenda vyetu pia.Ukitaka kujua zaidi BOFYA HAPA uthibitishe kwamba watanzania tunapenda vya kwetu pia kama mazingira yanakua mazuri, sio mnaponda tu kila kitu. Chelsea weeeh aah!

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 10, 2010

    KILA MTU NA POINTS ZAKE, KILA MTU ANSEMA KITU SAHIHI HAPA, LAKINI KUSHANGILIA AU KUWA MPENZI WA TMU YANYUMBANI NI SAHIHI KABISA, MFANO MZURI HAPA UGHAIBUNI HUWEZI KUMOUNA MTU WA KIJIJI FULANI AKIWA SHABIKI WA KIJIJI TIMU YA MJI MWINGINE, MFANO HUWEZI KUMUONA MTU ANAYEISHI MAENEO YA CHRISTAL PALACE AKISHABIKIA MANCHESTER UNITED YA MAILI ZAIDI YA MIA TATU TOKA LONDON, HATA MTU TIMU YAKE IWE YA MWISHO AU HAIKO KWENYE LIGI YOYOTE HUWEZI KUMSIKIA AKISHABIKIA CHELSEA ATI KWA VILE NI BINGWA NA WANACHEZA MPIRA MZURI, MIMI NILSHANGAA SANA KUONA MAN U INAWASHABIKI SEMA AFRICA TANZANIA NA ISIWE NA WASHABIKI SEMA WIGAN AU BOLTON UMBALI AMBAO MTU UNAWEZA KUTEMBEA KWA MGUU. LAKINI HII YOTE INATOKANA NA HATUWA TULIYOPO KIMPIRA NDO MAANA TUNALAZIMIKA KUWA WAPENZI WA TIMU ZA NJE. UGHAIBUNI MKIMUONA MTU ANASHABIKIA SEMA MAN U NA ANAISHI MBALI NA MANCHESTER UKIMDADISI SANA ATAKUWA NI MZAWA WA MANCUNIAN AMEKUWEPO HAPO ALIPO TU PENGINE NI KWA AJILI YA KIKAZI, NA WASHABIKI WA TIMU WA RANDOM WENGI WA UGHAIBUNI NI WATU WA KUJA TOKA NJE YA NCHI HUSIKA, KAMA LONDON UTAKUTA WATU WA KUJA WENGI WANASHABIKIA TIMU ZA MBALI NA WALIPO KWA VILE TOKA NCHINI KWAO WALIKUWA WASHABIKI WA TIMU HIZO. NI MUHIMU SANA KUONYESHA USHABIKI WA KIZALENDO NI MOJA YA KUKUZA MPIRA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 10, 2010

    Washamba washamba tu, Sasa akina Tyson wakipigana mtasema tusiwashangilie, tuwashangilie mabondia wetu tu?.





















































































    +

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 11, 2010

    DUH, SI MCHEZO! NIMEKUBALI MDAU WA MON MAY 10, 07:29:00 PM, UWANJA ULITAPIKA,KWELI WABONGO TUNAPENDA SOKA MAANA VILE NI BALAA. ANKAL HIVI MAPATO ILIKUAJE SIKU ILE HAYAKUFIKA BILIONI KWELI? DAH NAMNA ILE NDIO MANA WAMBURA ALIENDA MAHAKAMANI!.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...