Home
Unlabelled
chelsea oye!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nane mtungi mamamama......!!!!!!!
ReplyDeleteMan U wamefukuza hadi wamechemsha. Darajani oyee! Tunasubiri trophy nyingine ya FA, ni kama kwenda kumsukuma mlevi vile.
ReplyDeleteHongera!ila mwandishi amekosea sio "kalamu" ni karamu ya magoli!teh teh teh!
ReplyDeleteUnleash the dragon! Double is in our hand
ReplyDeleteHongera sana! migu ya man U imeingia tumboni! inabidi wafanyiwe upasuaji wa haraka sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletesimba nao ni kufulia kwa kwenda mbele!!!! 5 - 1 dauh ni aibu!!!!!!
You make me laugh.
ReplyDeleteMngekuwa mnapenda timu zetu za bongo kama yanga, simba na tukuyu sters namna hii lo mbona tungekuwa mali sana kisoka, waone wanavyoshangilia kama wanaijua hata hiyo chelsea, same on you
ReplyDeleteKatika mechi mswahili alinifurahisha sana na kunikumbusha mbali aliposema kuwa Wigan wateseka kama mtu aliyevaa kanzu yenye upupu
ReplyDeleteManu pole sana
Wakatabahu
we anony wa 10:53:00 hebu kafie mbali...aliekwambia watu hawashangilii timu za bongo nani? au unataka kila mtu awe analeta picha huku? na lazima utakuwa man utd wewe....lione kwanza
ReplyDeletekweli kabisa anomy wa hapo juu, waafrica na ujinga ujinga tu wa kukaa na kutukuz vitu vya wazungu,ni kweli soka yao nzuri na inavutia, lakini sio mpaka kuashau ligi na timu zetu za nyumbani,siku hizi kila mtu na jezi ya arsenal,chelsea, man u au liver pressure mpaka aibu na mpaka wengine wanafikia hatua y kukabidhi rais wetu mpendwa jezi ya timu ya kigeni tena kwenye state house ya watanzani, tuache ujinga ujinga huu ukoloni mamboleo tupende na soka yetu, hiyo ndio itakuwa changamoto ya kufanya na michzo yetu nasi ikue tufike huko waliko wenzetu, nawakilisha
ReplyDeleteNa wewe Anony wa Mon May 10, 10:53:00 AM ungekuwa unapenda kutumia lugha yako ya Bongo kiswahili badala ya lugha ya huko zinakotoka timu wanazoshangilia wenzio ungekua mali ki-busara na wala usingepata AIBU ya kuandika SAME ON YOU badala ya SHAME ON YOU..AIBU irudi kwako pia..
ReplyDeleteha ha ha chelsea bwn,maneno mengi tatzo hamjazoea ushindiii
ReplyDeleteinapendeza lakin ikiwa ushindi unatembea kwa wengne pia thou kwa shida kweli, ila kila siku wakichukua Man mtazidi kuwachukia kumbe ni kiwango tu
ila nafurahi mmejifunza kitu , tht man sio mchezo wamewapeleka mbaya kiasi kwamba ushind mnaujua mwishoi kabsa ingekuwa Man siku nyingi tushajihakikishia
Next tunahitaji ushindani wa namna hiii
sasa wewe anonymous wa mon may 10, 10:53 unasema tushangilie simba na yanga kwani kushangilia kwetu ndi kutafanya soka yetu ipande ni mifumo mibovu na soka lenyewe la bongo bovu tu, hata tukizishangilia hizo timu hatuwezi kusababisha zipande kiwango ni jitihada zao wenyewe. halafu nahisi wewe ni shabiki wa man u ndio maana umekasirika chelsea kuchukua lakini ndio hivyo ndugu yangu kila mtu na zamu yake yako labda mwakani
ReplyDeleteHongera Chelsea kwa ushindi mnono
ReplyDeleteHongera Chelsea kwa ushindi huo mnono
ReplyDeleteNaona mdau wa 10:50:00 na wa 10:53:00 hajui/hawajui raha ya mpira. Kwanza yeye mwenyewe anashangilia timu gani ya Bongo? Hajui kwamba unaweza kuwa mshabiki wa timu ya nyumbani na ya nje pia.
ReplyDeleteWhat a day!Jana nlikua siku tamu sana! The Best day of the year 2010 for all Chelsea fans in this planet Earth!
ReplyDeleteBlue is the Color, Carlo is the King,Chelsea is the Champiooon!
Poleni sana msiopenda mpira kwani sidhani kama unaweza kupata kirahisi furaha kama tuliokua nayo fans wa the Blues, Wale mnaoponda sie wapenda soka ya nje muelewe kitu kimoja mpira ni sawa na dini, leo hata ligi yetu ingekua na nguvu duniani ungeona waingereza wanaishangilia sawa sawa na vile wazungu wanavyoishangilia Nigeria, Cameroon, au Ghana kwenye mashindano ya kimataifa. Si ajabu kuona Waingereza au wafaransa wanapenda timu zao na pia ikicheza Brazil wanashangilia. Mfano Mimi napenda timu yangu ya Mtaani kwetu hata michango ya mpira na jezi natoa. Pia ni shabiki wa Simba japo tumefungwa kwa sababu ya uzembe wa viongozi wetu kuweka nguvu kubwa katika kuchagua viongozi na kupunguza hamasa kwa wachezaji(leo mechi kesho uchaguzi si ujinga huo!). Kwenye kabati la nguo nina replica ya Simba, fulana nyeupe imeandikwa kwa maandishi mekundu "MNYAMA. na pia replica ya Chelsea na Taifa stars! So wadau mnaotuponda jua kwamba tunapenda vyetu pia.Ukitaka kujua zaidi BOFYA HAPA uthibitishe kwamba watanzania tunapenda vya kwetu pia kama mazingira yanakua mazuri, sio mnaponda tu kila kitu. Chelsea weeeh aah!
KILA MTU NA POINTS ZAKE, KILA MTU ANSEMA KITU SAHIHI HAPA, LAKINI KUSHANGILIA AU KUWA MPENZI WA TMU YANYUMBANI NI SAHIHI KABISA, MFANO MZURI HAPA UGHAIBUNI HUWEZI KUMOUNA MTU WA KIJIJI FULANI AKIWA SHABIKI WA KIJIJI TIMU YA MJI MWINGINE, MFANO HUWEZI KUMUONA MTU ANAYEISHI MAENEO YA CHRISTAL PALACE AKISHABIKIA MANCHESTER UNITED YA MAILI ZAIDI YA MIA TATU TOKA LONDON, HATA MTU TIMU YAKE IWE YA MWISHO AU HAIKO KWENYE LIGI YOYOTE HUWEZI KUMSIKIA AKISHABIKIA CHELSEA ATI KWA VILE NI BINGWA NA WANACHEZA MPIRA MZURI, MIMI NILSHANGAA SANA KUONA MAN U INAWASHABIKI SEMA AFRICA TANZANIA NA ISIWE NA WASHABIKI SEMA WIGAN AU BOLTON UMBALI AMBAO MTU UNAWEZA KUTEMBEA KWA MGUU. LAKINI HII YOTE INATOKANA NA HATUWA TULIYOPO KIMPIRA NDO MAANA TUNALAZIMIKA KUWA WAPENZI WA TIMU ZA NJE. UGHAIBUNI MKIMUONA MTU ANASHABIKIA SEMA MAN U NA ANAISHI MBALI NA MANCHESTER UKIMDADISI SANA ATAKUWA NI MZAWA WA MANCUNIAN AMEKUWEPO HAPO ALIPO TU PENGINE NI KWA AJILI YA KIKAZI, NA WASHABIKI WA TIMU WA RANDOM WENGI WA UGHAIBUNI NI WATU WA KUJA TOKA NJE YA NCHI HUSIKA, KAMA LONDON UTAKUTA WATU WA KUJA WENGI WANASHABIKIA TIMU ZA MBALI NA WALIPO KWA VILE TOKA NCHINI KWAO WALIKUWA WASHABIKI WA TIMU HIZO. NI MUHIMU SANA KUONYESHA USHABIKI WA KIZALENDO NI MOJA YA KUKUZA MPIRA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE
ReplyDeleteWashamba washamba tu, Sasa akina Tyson wakipigana mtasema tusiwashangilie, tuwashangilie mabondia wetu tu?.
ReplyDelete+
DUH, SI MCHEZO! NIMEKUBALI MDAU WA MON MAY 10, 07:29:00 PM, UWANJA ULITAPIKA,KWELI WABONGO TUNAPENDA SOKA MAANA VILE NI BALAA. ANKAL HIVI MAPATO ILIKUAJE SIKU ILE HAYAKUFIKA BILIONI KWELI? DAH NAMNA ILE NDIO MANA WAMBURA ALIENDA MAHAKAMANI!.
ReplyDelete