Home
Unlabelled
hepi besdei ya kuzaliwa mboni masimba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I hope they won't go further than that. Maana hawa watu wa movie industry sometimes Mmmh!
ReplyDeletewate wamewakandia jamaa wa denmark/holland kwa kusherehekea basdei mbona huyu mumemkalia kimya? au ni sawa kwa vile yuko bongo?
ReplyDeletemtot mash'allah!!
ReplyDeletemastaa wa bongo nyumbani mbona mnajiachia hivyo!!!! ona Kanumba ulivyonenepa ovyo ovyo!!!?? stay fit and in shape kwanza wewe bado mtoto mdogo usipoangalia utaonekana 45 years old sasa hivi, mbona gym ziko nyingi tu dar!!!! then check diet yako, mwambie pia na ndugu yako Ray maake kitambi chake kasheshe.
ReplyDeleteAsante mdau hapo juu,
ReplyDeleteNgoja na mimi niseme,Kanumba kanumba.wewe napenda sana kuangalia movie zako na tena ni kaka mwenye sura na umbo zuri sana.Lakini baba tafadhali jitunzue mwili wako.kunenepa sio ishu kabisa tena acha wewe.
siwezi kusema lolote kuhusu mashimba,kwani kweli sijui anahusika na nini,na sikuwahi kumwona hapo kabla.Ila unene si ishu ndugu zangu.
Madau
Usa