mdau Mboni Masimba akiwa na Hartman (shoto) na Steve Kanumba usiku wa kuamkia leo wakati wa mnuso wa hepi besdei ya kuzaliwa kwake (mboni) ambaye ni mfanyabishara maarufu jijini akitamba katika uuzaji wa viatu orijino toka italy na spain.
Picha na habari zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2010

    I hope they won't go further than that. Maana hawa watu wa movie industry sometimes Mmmh!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2010

    wate wamewakandia jamaa wa denmark/holland kwa kusherehekea basdei mbona huyu mumemkalia kimya? au ni sawa kwa vile yuko bongo?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 18, 2010

    mtot mash'allah!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 18, 2010

    mastaa wa bongo nyumbani mbona mnajiachia hivyo!!!! ona Kanumba ulivyonenepa ovyo ovyo!!!?? stay fit and in shape kwanza wewe bado mtoto mdogo usipoangalia utaonekana 45 years old sasa hivi, mbona gym ziko nyingi tu dar!!!! then check diet yako, mwambie pia na ndugu yako Ray maake kitambi chake kasheshe.

    ReplyDelete
  5. Asante mdau hapo juu,
    Ngoja na mimi niseme,Kanumba kanumba.wewe napenda sana kuangalia movie zako na tena ni kaka mwenye sura na umbo zuri sana.Lakini baba tafadhali jitunzue mwili wako.kunenepa sio ishu kabisa tena acha wewe.

    siwezi kusema lolote kuhusu mashimba,kwani kweli sijui anahusika na nini,na sikuwahi kumwona hapo kabla.Ila unene si ishu ndugu zangu.

    Madau
    Usa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...