Kwa video hii na nyingine kibao BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Mama WatotoMay 27, 2010

    Ankal hichi kiswahili jamani, nimesoma akiwa hai jukwaani, nikashtuka nakufikiri kwani amekufa!? Kumbe ndio "LIVE" kwa kiswahili au!

    Duh!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2010

    Kweli matatizo, yaani analazimisha watu wampigie makofi wakati anaimba fleva? Toka lini fleva ukawa muziki wetu? Pozi za kijinga nyingi halafu wanajitia kutumia lafudhi ya kimarekani, jamani si ujinga huu? Sasa hapa anaimba nini cha maana?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2010

    nilifikiria watu wanamsema hashim tu je huyu jamaa na yeye si ndio yale yale mnajitia kiswahili mnavuta, kamichu kwanini hawa watu huwapi darasa la kizungu kama chako? manake nishakuona ukiongea ni fluent haswa mpaka nikajivuna. ila hawa ni wanaongea tu nusu nusu kutuonyesha na hayo maneno machache wanayojua.

    Nimefurahi kumsema huyu jamaa manake kutwa tunamsema hashim tu wakati na yeye huwa anaongea vizuri tu.

    mdau north america

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 27, 2010

    si uongee tu king'eng'e moja kwa moja? tunajua utapata tabu manake hawa watu wanaojitia kuongea maneno ya kiingereza makubwa basi mwongeleshe kimombo ndio utamjua manake hawajui kitu. mwalim jk alikuwa anakimwaga sana chote si kuandika si kuongea, vipi siku hizi jamani mbona mnatia aibu?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 27, 2010

    Maneno yako:
    Kweli matatizo, yaani analazimisha watu wampigie makofi wakati anaimba fleva? Toka lini fleva ukawa muziki wetu? Pozi za kijinga nyingi halafu wanajitia kutumia lafudhi ya kimarekani, jamani si ujinga huu? Sasa hapa anaimba nini cha maana?
    ____________________________________

    maneno yangu:

    nakubaliana na wewe 100% manake mikogo mingi wakati hamna kitu heri tuangalie twanga pepeta jamaa anaongea sana (tena kiswahili, wote tunaelewa) na anaonyesha kuwa na furaha jukwaani ila hawa wengine hata hatujui wanaongea nini na hicho kimarekani chao, kwa kweli inasikitisha.

    michuzi back to you.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 27, 2010

    Wabongo punguzeni kuiga mjina ya aka ya wanamuziki wa marekani!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 28, 2010

    duh!yani wabongo hamna jema.nyie kila aliewazidi anajidai.nyie wote mnaoponda kuhusu huyu jamaa sidhani kama hata kuimba mnaweza.kwanza inawezekana hata mvuto wa kupanda jukwaani hamna.mpeni sifaa zake dogo kajitahidi.Na nyie mnaoponda kuhusu Hasheem ndio mmeishiwa kabisa la kuongea.Mbona maisha ya Hasheem yanawakera sana?mmeona hamufikii hata kidogo kwa mshiko,basi ooh anajidai na kimarekani.mbona hamjiulizi huwa anaongea vipi na kocha wake?acheni chuki.penye sifa,mtu mpe sifa yake.Na huyo Hasheem mbona anaongea hivyo tangu long time?au nyie mmemjua juzi?..igeni kuhangaika na maisha,acheni kupoteza mda kuongea chenga.tatizo bongo hii kila mtu anataka kuwa juu.akitokea aliowazidi mnamchukia..NO ONE LIKE HASHEEM THABEET.Na wote mnaomponda ni miwivu tuu..

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 28, 2010

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
    Hapa dogo amefikisha ujumbe kwa watu wote na viongozi.Sio tudharau watu waliotoka vijijini,manzese kwa mfuga mbwa,mbagala.mwanafunzi wa mbagala,manzese midizini,yombo vituka ukiwalinganisha na wa masaki,mikocheni,osterbay nk ni tofauti.Hapa msg ni usawa kwa watu wote.Wote ni watanzania.Dogo kafikisha msg kwa hahusika wote.Imetulia sana nyimbo. Go go go Diamond.Real bongo flava.Mziki ni kama lugha hukuwa,hubadilika ila msg ni ile ile.
    Mdau Scotland Edinburgh

    ReplyDelete
  9. Pamoja na yote kuwa nina kubaliana nayo hapo juu ila pia ukweli Watanzania hatujui kushangilia au kuhamasisha msanii au mwenzetu anpofanya jambo kwa kujitahidi. Kushangilia huwa kuna hamasisha mtendaji ili afanye vizuri zaidi.... Kisha la ajabu ni kuwa kwa nini tunahudhuria maonyesho kama hatujui kustarehe na kushangilia!!!!! waswahili kwa kulaumu tu...aaaa
    mahodari kukosoa utafikiri wao malaika hawakosei...yaani wamekamilika....ACHENI HAYO!!!

    Kimombo: Tanzanians do not know how to cheer our musicians or performers during live shows or otherwise.... But It is very demoralizing for the artistes and it surprises me why we even bother to go to shows or events if we do not enjoy them....
    Good at Criticizing as if we are angels who do not make mistakes.... DUH...change your mindset WABONGO ...CHEER life on ... the whole world does...
    nefertiti.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...