Fc Kilimanjaro mabingwa wa Ulaya, vijana machachari wa Stockholm wamerudi
uwanjani jumapili hii kwa kishindo kwa kuzifunga timu tatu tofauti katika mchezo wa Summer jijini Stockholm.
Mchezaji wa kulipwa wa Kilimanjaro Stars Kessi Et'oo akifunga goli moja
wapo kati ya matatu yaliyopatikana dhidi ya Guinea.
Mlinda mlango namba moja wa Kili Kablao akiokoa moja ya hatari mbaya
langoni kwake. Huyu bwana inabidi Maximo amtesti siku moja maana hata Isega Isindani haoni ndani kwa kubinjuka na kudaka
Kili Stars na Guinea katika picha ya pamoja kabla ya gemu leo
watoto wakijumuika kupata pilau nyumbani
kwa Mwenyekiti wa Kili Stars Mzee Zam
Kili Stars wakipata pilau nyumbani kwa mwenyekiti baada ya ushindi
Hapo ilikuwa tonge nyama....






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2010

    pilau dume!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 24, 2010

    Hao ndio wenyewe kulishana pilau bila ya nyama na kachumbali kiduuchu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 24, 2010

    Mabingwa gani mpira wenyewe ugokoni.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 24, 2010

    mwambie maxmo awachukue hao au huwa hasomi hii blog

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 24, 2010

    ni vizuri sana wabongo mnapojumuika pamoja ivi na kushusha stress za mabox

    udumu utanzania

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 24, 2010

    Hahaahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, KC-AZA, Kessy wa Karama, Braza braza!!!!!! dah, happy to c u here braza braza,Kessy E'too, ebwana eeeeh! naona unapasia nyavu ka' uko temeke squad!, shesha mzazi, pengine hawajui kama u from kiumeni

    Nduguyo toka same wilaya, same kitaa, still same mwana..

    Wa Bungara!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 24, 2010

    Hata msingeshinda poa tu...Kula shaba hiyo mmeonesha heshima....mkataa shaba..ka si kichaa basi mgonjwa asamehewe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...