
uwanjani jumapili hii kwa kishindo kwa kuzifunga timu tatu tofauti katika mchezo wa Summer jijini Stockholm.
wapo kati ya matatu yaliyopatikana dhidi ya Guinea.
langoni kwake. Huyu bwana inabidi Maximo amtesti siku moja maana hata Isega Isindani haoni ndani kwa kubinjuka na kudaka
kwa Mwenyekiti wa Kili Stars Mzee Zam
Hapo ilikuwa tonge nyama....
pilau dume!
ReplyDeleteHao ndio wenyewe kulishana pilau bila ya nyama na kachumbali kiduuchu.
ReplyDeleteMabingwa gani mpira wenyewe ugokoni.
ReplyDeletemwambie maxmo awachukue hao au huwa hasomi hii blog
ReplyDeleteni vizuri sana wabongo mnapojumuika pamoja ivi na kushusha stress za mabox
ReplyDeleteudumu utanzania
Hahaahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, KC-AZA, Kessy wa Karama, Braza braza!!!!!! dah, happy to c u here braza braza,Kessy E'too, ebwana eeeeh! naona unapasia nyavu ka' uko temeke squad!, shesha mzazi, pengine hawajui kama u from kiumeni
ReplyDeleteNduguyo toka same wilaya, same kitaa, still same mwana..
Wa Bungara!
Hata msingeshinda poa tu...Kula shaba hiyo mmeonesha heshima....mkataa shaba..ka si kichaa basi mgonjwa asamehewe
ReplyDelete