
SITASAHAU MV BUKOBA nikitabu kinachoelezea hali halisi ilivyokuwa ndani ya meli ya MV BUKOBA kabla na baada ya ajali. Nyaisa Simango ni miongoni mwa abiria walionusurika katika ajali hiyo, Ameandika hiki Kitabu kuelezea hali halisi ilivyokuwa tangu mwanzo wa safari yake hadi meli hiyo ilipopinduka na kuzama.
SASA KIPO MADUKANI.VITABU HIVYO VINAPATIKANA MADUKA YAFUATAYO;
1. Novel Idea- City Centre na Slip way
2. Soma Book Cafe- Regent Estate
3. Mwenge Best book shop - Mwenge
4. Scholarstica book shop -- Mlimani city
5. Salamander book shop --- City centre
6. General book Seller -- City Centre
7. Dar es salaam Printers -- City centre
8. DUP -- University of Dar es salaam
Arusha
Kase store
Moshi
Mwenge best book shop
Tarime/ Musoma
Gimunta Champion Traders Ltd
Iringa
Tanzania Literature Centre
http://www.karugendo.com/2010/03/sitasahau-mv-bukoba.html
ReplyDeleteinaelezea vizuri hapo juu link hiyo. Mwenyezimungu awaweke sehemu pema peponi amin.
Titanic
ReplyDelete