Mkongwe John Kitime (shoto) akiwa na msanii mahiri mwenye ulemavu wa kutoona Anania Ngoliga kwenye shoo ya kila Jumamosi ya Njenje pale Salender Bridge club jijini Dar. Anania ameshatembea nchi nyingi duniani kuonesha kipaji chake kama video hiyo chini inavyoonesha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2010

    Jamani Kitine, nimefurahi sana kusikia nyimbo na ubunifu unaofanywa na watanzania wenzangu. kweli mko juu sana na namshukuru Mungu kuwapa wenzetu uwezo mkubwa wa kufanya vitu, sasa nashindwa kuelewa kama kwa kukosa kiungo muhimu kama macho lakini mtu ana perform kwa kiasi hicho, mwambie kuwa Yesu akirudi kitu cha kwanza cha kumpa ni macho yake na atatuona wote. Mbarikiwe sana na nimefurahia sana and you have mada my day to be honest.

    ReplyDelete
  2. Kaka huyo Anania huyo namkubali huyo Kaka.

    Hicho kichwa hicho Kaka,
    Yaani pamoja na ulemavu huo huwa anaimba huyo na kupiga gitaa kama hana akili nzuri vile.

    Big up sana Ananaia,

    Kwa hiyo ina maana siku hizi ameacha kupiga Pale MERCURY kule Zenji au?

    ReplyDelete
  3. Anania bado yuko na bendi yake Zanzibar alitembelea tu Wananjenje.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 11, 2010

    Mkongwe John Kitime miaka nenda rudi bado anatikisa katika fani ya mziki,tunakushukuru saana kwa mchango wako,huu utakuwa urithi mkubwa kwa kizazi kipya cha sasa na baadaye.
    Nilipokuwa kijana kulikuwepo na walemavu wa macho katika fani ya mziki wa Tanzania,lakini kipaji cha Annania ni cha kuzaliwa. Nawatakia maisha marefu ya afya njema kwa kuendeleza mchango wenu katika fani ya mziki wa Tanzania.

    Mickey Jones

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...