Kaka Michuzi
Habari Mkuu nilitaka kukuomba unibandikie kwenye blog yako kakitabu kangu ambako kinategemea kutoka tarehe 28/may/2010. Hiki kitabu nimekiandika na jamaa yangu ambaye yuko Sweden. Lakini kwa asilimia 90 nimeandika mwenyewe hapa bongo/Dodoma.

Kitabu hiki kitapatikana Bookshop zote duniani kimechapishwa Uingereza na WITPRESS (http://www.witpress.com/information-and-communication-technologies.html)

Hivyo watanzania(especially wale wa ICT) kama kawaida naomba kuwataarifu wasikose angalau copy yao ambayo imeandikwa The University of Dodoma , Tanzania angalau kujivunia ka kitabu kalikoandikwa kutoka katika nchi yao.

Mwandishi wa kitabu hiki amesomea Elimu yake yote nchini Tanzania. (The University of Dar es Salaam)

Nimeambatanisha Cover ya kitabu pamoja na short summary ya kitabu chenyewe. Samahaani kwa usumbufu. Pia kitabu hiki kimetangazwa katika book sellers zote ulimwenguni.

Ni mimi Mdau
Justinian Anatory
School of Virtual Education
College of Informatics and Virtual Education,
University of Dodoma
P. o.Box 490
Dodoma
Tanzania

Book Summary of Broadband Power
Line Communications Systems: Theory and Applications

Advancement in information and communication technologies (ICT) has made it possible for broadband services to be used to bridge urban-rural areas efficiently and economically, using a readily available and largely distributed power line infrastructure.
Power line networks can be used for multi-service data transmission, such as low speed data that includes office and home automation, energy information systems, transportation systems, etc. and broadband services such as 'Last Mile' and 'Last Meter' high-speed internet access, Voice over Internet Protocol (VoIP), etc.
Other applications include high speed data communications for indoor applications such as digital entertainment systems. High capacity links in transmission systems could eliminate the need for fiber optic cables in telecommunication networks. Advances in this field led to the evolution of Broadband Power Line Communication (BPLC), which is essentially a blend of the other well known subjects, namely, classical transmission line (TL) theory, communication and networking theories.
Based on these, this book covers both the theoretical and practical aspects of BPLC technology intended for graduate studies and industries dealing with PLC system design and power line network planning/segmentation. The topics include classification of BPLC systems, models for analyses based on TL theory, estimation of channel capacity and performance and finally application of modulation, and coding techniques for boosting the performance of BPLC systems.
For the convenience of the readers, a couple of chapters are dedicated to the fundamental aspects of TL, communication and networking theories, acting as warm-up for the other chapters.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2010

    Safi sana dr. Anatory, imetulia hii, kopi zikiwa tayari tafadhali tuwasiliane nijipatie yakwangu. Email yangu: billydantz@yahoo.com. Kila la kheri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...