Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2010

    He! Kumbe Michuzi umeenda vekesheni kimya kimya! Hongera.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2010

    hao wapishi wakuu lazima watakuwa wana mtindio wa ubongo kidogo...lol

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2010

    Kaka Michuzi,
    Naomba hawa TBL waangalie utaratibu wa kuleta hicho kilaji huku USA. Mfani hiyo ndovu na kilimanjarao zingenyweka sana. US market ni kubwa sana. Ila wana tatizo moja hawa TBL lazima wafuate viwango vya huku kama vile umri wa kunywa kilaji hapa ni miaka 21 na pia bia zao hasa za kopo zinakaa muda mfupi sana bila kupita muda wake. Hii inatupa shida hata sisi wadau tunaosafiri na hizo bidhaa zao kwa matumizi yetu huku.
    Otherwise hongera TBL na fungueni macho kuna soko kubwa sana la bia huku us.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2010

    Kweli huyo ni mpishi hasa. Maana macho tu yanaonesha kuwa kweli ni mpishi. Unajua huwezi pika chakula kizuri kama huwezi kutoafutisha radha ya vyakula mbalimbali kwa kuonja.

    Na kuwa mpishi mkuu wa pombe ni lazima uwe mlevi wa kutupa, maana onjaonja ya bila kipimo uajikuta umekata chupa kumi.

    ReplyDelete
  5. mzee mpishi anaonekana ameshashtua ona mishipa usoni,

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 31, 2010

    Mdau namba moja hapo juu,unauliza ankal kaenda vakesheni kimya kimya. Hayo ni matunda ya Chupa ya ndovu inayoonekana kwenye logo ya blog hii!

    Hongera sana ankal

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...