Home
Unlabelled
libeneke la ndovu ujerumani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
He! Kumbe Michuzi umeenda vekesheni kimya kimya! Hongera.
ReplyDeletehao wapishi wakuu lazima watakuwa wana mtindio wa ubongo kidogo...lol
ReplyDeleteKaka Michuzi,
ReplyDeleteNaomba hawa TBL waangalie utaratibu wa kuleta hicho kilaji huku USA. Mfani hiyo ndovu na kilimanjarao zingenyweka sana. US market ni kubwa sana. Ila wana tatizo moja hawa TBL lazima wafuate viwango vya huku kama vile umri wa kunywa kilaji hapa ni miaka 21 na pia bia zao hasa za kopo zinakaa muda mfupi sana bila kupita muda wake. Hii inatupa shida hata sisi wadau tunaosafiri na hizo bidhaa zao kwa matumizi yetu huku.
Otherwise hongera TBL na fungueni macho kuna soko kubwa sana la bia huku us.
Kweli huyo ni mpishi hasa. Maana macho tu yanaonesha kuwa kweli ni mpishi. Unajua huwezi pika chakula kizuri kama huwezi kutoafutisha radha ya vyakula mbalimbali kwa kuonja.
ReplyDeleteNa kuwa mpishi mkuu wa pombe ni lazima uwe mlevi wa kutupa, maana onjaonja ya bila kipimo uajikuta umekata chupa kumi.
mzee mpishi anaonekana ameshashtua ona mishipa usoni,
ReplyDeleteMdau namba moja hapo juu,unauliza ankal kaenda vakesheni kimya kimya. Hayo ni matunda ya Chupa ya ndovu inayoonekana kwenye logo ya blog hii!
ReplyDeleteHongera sana ankal