KUNDI LA MAULIDI YA HOMU YA MTENDENI, ZANZIBAR, KIKITUMBUIZA USIKU W KUAMKIA LEO KATIKA SHEREHE YA KUZINDULIWA KWA HUDUMA ZA BENKI ZA KIISLAMU (SHARIAH BANKING SERVICES) NCHINI NA STANBIC BANK KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR.
Kwa video hii na nyingine kibao BOFYA HAPA


Nimewahi kuuliza na sikujibiwa kwa hiyo nauliza tena.
ReplyDeleteNi Mufti gani aliyepelekewa hiyo product ya benki ambayo inasemekana ni shariah compliant na kutoa fatwa kwamba kweli ina comply na sharia?
Tusikubali juu juu kwamba hiyo Islamic Banking is sharia compliant kwa kupikiwa mpunga na maulid, lazima ikawe analysed na ma-Mufti kwanza.
Hatutaki DECI nyingine tafadhali.
(US Blogger)
We Anony wa Thur May 06, 12:22:00AM Umechelewa kweli.Kuna Maulamaa kibao hapa wameifanyia kazi.Uliza vyema usije na ubishi tu kwanza anza kuuliza vyema.Nenda kuna maulamaa MUM wako na Elimu hii tukufu na ndio maana wajigamba Shariah-Compliant Bank.Usianze kuuliza eti Mufti gani?Njo uwekeze
ReplyDeleteNimewapenda hao Maustadh hapo juu, Viundwe vikundi vingine kuua Bongo Flava na Mipasho kuijenga jamii
Magesa Hamis Majura
magesah@hotmail.com
wataaaanza maugaidfi yao hao jamaa tuwe makini saana !hawachelewi kutuleteaa baalaa zao hao shariaa nini ninyii?
ReplyDeletemdau shalom
nimewapenda kweli hawa waimba kaswida wanamvuto kweli na wapendeza sana
ReplyDeletemdau canada
naomba kuelimishwa. haya maulidi ya home asili yake wapi? nilipokuwa zanzibar tulikuwa tunayasikia tu lakini hatukuwahi kuyaona lakini siku hizi nimeziona video nyingi za hawa vijana.
ReplyDeletejee hii ni ibada au ni madhehebu gani? kuna tafauti gani ya hawa na dhikiri mbali ya kuwa dhikiri kukangua vifuwa?
mdau Thu May 06, 02:10:00 AM jina lako tu ulilijipachika linasema mengi na kwa uwazi. get out of your shelf and see the big picture. use your brain.
ReplyDeleteusikae tu ukajificha mbele ya monitor na kuandika utumbo.
Jamani mbona watu wanahaha na kuchanganya issues? Ugaidi unatokea wapi tena? Au ndio narrow minded people? Ni kwamba benki zimeusoma utaratibu huu na kwa ku gundua super profit watakayopata, basi kila benki imekimbilia. Hakuna benki itakubali kujikita kwenye mfumo utaoiletea hasara hata siku moja, chunguzeni wajomba mtabaini. Ni ukweli kwamba dini imejotosheleza kila sekta, na itabaki hivyo.
ReplyDeleteWe anon wa 02:10:00, Licha ya chuki zako, tutaendelea na imani zetu na benki zetu zisizotoza riba na kuwekeza kwenye pombe na nguruwe, if you don't like you can go and jump in a cess-pit. Hilo jina ulilojipa ... mbona wakati taifa lenu hilo la udhalimu lilpokuwa linawa-support makaburu dhidi ya Waafrika hamkusema kitu. Believe me YOU WILL ALWAYS BE A LOSER!!!!!!
ReplyDelete
ReplyDeleteAnony Thu May 06, 04:44:00 PM naomba unieleweshe hii kitu inafanyaje kazi mpaka kunakuwa hakuna hasara. Na kwa nini unasema mifumo mingine ina hasara?
muulizaji
jamani tuwe wakweli hii bank sawa ya kiislamu ila riba ipo ila haitwi riba kuna bank charges badala ya kuita interest,ni sawa nakusema,binadamu siku zote wanafiki tu,tusijifanye twampenda sana mungu wala nini unafikii tu
ReplyDelete