MAREHEMU SALIM ISSA ISIHAKA
UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA KWA NIABA YA WATANZANIA INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA NDUGU SALIM ISSA ISIHAKA KILICHOTOKEA LEO TAREHE 5/5/2010 MCHANA MJINI NAPOLI ITALY. MAREHEMU AMEUMWA GHAFLA.
UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA KWA NIABA YA WATANZANIA INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA NDUGU SALIM ISSA ISIHAKA KILICHOTOKEA LEO TAREHE 5/5/2010 MCHANA MJINI NAPOLI ITALY. MAREHEMU AMEUMWA GHAFLA.
MIPANGO YA MAZISHI INAFANYWA NA KWA TAARIFA ZA HARAKA NI KUWA MAREHEMU ATAZIKWA KATIKA MAKABURI YA KIISLAM MJINI ROMA. TAARIFA KAMILI YA SIKU YA MAZISHI ITATANGAZWA. JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA INAUNGANA NA WAZAZI ,NDUGU JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO KATIKA KUOMBOLEZA MSIBA HUU. MWENYEZIMUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI AMIN!!!
TAFADHALI KWA MAELEZO ZAIDI NA MICHANGO WASILIANA NA
VIONGOZI WA MATAWI:
NAPOLI: TEL: +39 3488307269
MODENA/RAVENA: TEL:+ 39 3403475405
ROMA: TEL: +39 348 4617229
GENOVA: TEL: +39 333 952 8659
PADOVA/VENEZIA: TEL: +39 338 716 8944
MODENA/RAVENA: TEL:+ 39 3403475405
ROMA: TEL: +39 348 4617229
GENOVA: TEL: +39 333 952 8659
PADOVA/VENEZIA: TEL: +39 338 716 8944


ina lilah wainailah rajuunn
ReplyDeletetulikupenda salim sana ni mcheshi mtu
wakujitolea kwakila jambo upo mbele kwa raha na shida lakini allah
anamapenzi makubwa kutushinda sie wanadamu.mungu akupe makao mema akusamehe makosa yako amin.
m/mungu ampe kauli thabit marehemu safari yenye wepesi na amuondoshee adhabu za kaburi.
ReplyDeleteSlim kaka yangu tutakukumbuka daima milele kwa uchesi na ukarimu wako. Haikuwa rahisi nilipopokea habari hizi mungu alikupenda zaidi.
Inalillahi waina Illahi Rajioun.
R.I.P INASIKITISHA SANA SUCH A HANDSOME MAN!
ReplyDeleteInna Lilahi wa Inna Iayhi Rajjun
ReplyDeletebwana michuzi hizi picha za marehemu sasa tunaomba uwe unaomba ruhusa kwa wafiwa kuzitundika. Kuna watu wana roho mbaya na wamepigika kiasi kwamba mpaka wanakuja humu kuwatukana waliotangulia mbele ya haki. Utawasikia "oooh majin yenu ya kibaharia..., oooh ndiyo madhara ya kudandia meli,...oooh ugiriki kumechoka mnaendelea kufa tuu rudini nyumbani" Ili mradi tuu mambo juu ya mambo.
ReplyDeleteUpumzike kwa amani Salim. Poleni wafiwa. Naomba msaada jamani. Natafuta habari za mtoto wa dada yangu aliekuwa baharia mwaka 1986 na kupotea hadi sasa. Tumelia hadi tumechoka. alikuwa anaitwa MHANDO MGAYA mwenyeji wa Tanga. Mwenye habari zake za uzima au umauti taf anijulishe kupitia hii blog. asanteni.
ReplyDeleteMa mdogo
Nami namtufuta BIYE (MHaya)! Aliondoka Dar mwaka 1986 kwa kudandia meli. Wazazi wake wamefariki bila kujua mwanao yuko wapi!
ReplyDeletetunashukuru sana kwa kumuombea ndugu yetu SALIM ISSA ABDALLAH mazishi yatakua jumatatu inshaallah huko italy roma na sisi tunategemea kwenda kesho na huku london ndio wapo dada zake watatu kama kuna mtu anataka kuwapa pole wafiwa mnaweza kuwapata kwenye namba hii +447529935745. SHUKRAN. INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN.
ReplyDeleteI.W.R lakini ni vipi kwa sanduku?
ReplyDeletewaislamu wa Italia mnao wajibu wa kutuelimisha imekuwaje.