Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Itete Njiwa , Tarafa ya Mtimbira, Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro wakiwa chini ya mti wakijaribu kuwasiliana na ndugu na jamaa wao waliopo nje ya eneo hilo kupitia mawimbi ya mtandao wa simu ya Mkononi ya kutokana na minara iliyopo kuwa mbali na Kijiji hicho chenye matatizo makubwa ya mawasiliano.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2010

    washauri wapande juu ya mti watapata network bora zaidi

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2010

    This is the life i have been missing for too long.
    nyumba za nyasi na maisha ya kijijini ila happy kwakuwa uko spiritually and morally satisfied
    I come from the kijiji. But nw nimezungukwa na sky scrappers na magari ya kifahari ughaibuni. Am still the same poor village guy coz i dont owning them bali mtumwa mbeba box na naona aibu kurudi hm empty handed. Nauli yenyewe cant afford-Hard to save. Karatasi sina sintaweza kurudi utumwani tena. So sad

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...