Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Itete Njiwa , Tarafa ya Mtimbira, Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro wakiwa chini ya mti wakijaribu kuwasiliana na ndugu na jamaa wao waliopo nje ya eneo hilo kupitia mawimbi ya mtandao wa simu ya Mkononi ya kutokana na minara iliyopo kuwa mbali na Kijiji hicho chenye matatizo makubwa ya mawasiliano.
Home
Unlabelled
mawasiliano mgogoro morogoro vijijini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


washauri wapande juu ya mti watapata network bora zaidi
ReplyDeleteThis is the life i have been missing for too long.
ReplyDeletenyumba za nyasi na maisha ya kijijini ila happy kwakuwa uko spiritually and morally satisfied
I come from the kijiji. But nw nimezungukwa na sky scrappers na magari ya kifahari ughaibuni. Am still the same poor village guy coz i dont owning them bali mtumwa mbeba box na naona aibu kurudi hm empty handed. Nauli yenyewe cant afford-Hard to save. Karatasi sina sintaweza kurudi utumwani tena. So sad