MTANANGE KATI YA TIMU YA SIMBA NA HARASS EL HODOOD UNAENDELEA HIVI SASA HUKO UARABUNI NA SASA HIVI NI DAKIKA YA 25 KIPINDI CHA PILI HUKU TIMU YA SIMBA IKIWA NYUMA KWA MABAO 4-1 DHIDI YA HARASS EL HODOOD  NA KUFANYA YASOMEKE HIVYO MPAKA SASA.TUTAENDELEA KUJUZANA ZAIDI MATOKEO YA MECHI HIYO INAYOENDELEA KUCHEZWA HIVI SASA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2010

    Simba is down 5-1,

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2010

    Safi sana... safi.
    Ilifungwa Taifa Stars bao kama hizo watu wakasema Maximo sasa watasema sijui Phili hafai???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...