anaitwa John Maganga na aliwahi kushinda katika mashindano ta kumiga Michael Jackson kwa sura na miondoko. Hivi sasa anapatikana Baucha records kwa atakayemtaka kwa shoo ya sherehe yoyote ile iwe harusi, ubatizo na hata shoo za uzinduzi.

anapatikana kwa namba: +255 715 994 995 ama kwa email:baucha38@hotmail.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 18, 2010

    Unatuletea mshindwi, kwani mshindi yuko wapi? kama unampigia debe afadhali taarifa ya kushindwa kwake usingeiweka!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 18, 2010

    mwambie apunguze mkorogo wa bongo asipoangalia na juwa hili litamfanya awe Rangi ya chungwa Lililoiva na Zambarau anajitahidi. Kimaro.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 18, 2010

    huyu Michael Jackson wa kichovu ! anatingisha mabega na kuvua kofia tu !!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 18, 2010

    ametulia
    mdau
    Babuu

    ReplyDelete
  5. anonymousMay 18, 2010

    no need to mention whether alishindwa bwana!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 18, 2010

    Aliwahi KUSHINDWA au aliwahi KUSHINDA?! au mwandishi kakosea kuandika. Lakini vyovyote vile jamaa yuko juu. Yaani utadhani Wacko Jacko mwenyewe!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 18, 2010

    Ankal unaweza kuiuza hii clip kwa CNN na Youtube huyu bwana anaweza akapata deal nzuri sana. Kama angekuwa marekani ungeuchinja amefanana kabisa na Jacko na huku wanaweza wakamtengeneza zaidi akaonekana kama jacko kabisa.
    Mdau USA

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 18, 2010

    mbona yuko slow au ni macho yangu tu?

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 18, 2010

    damn huyu ni ze wacko jackooo daah! ila kaka michuzi ulitaka kusema alishindaga shindano la kufanana na ze wacko au?maana sijaelewa sentensi yako

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 18, 2010

    Jamaa anajitahidi, lakini anahitaji 'moves' zaidi maana yuko limited. Watanzania tujaribu kuwa ma-perfectionist, ukiiga kitu kitoke kama kilivyo. Ukiaangalia shoo za waigaji wa majuu utafikiri unamuona Micheal mwenyewe.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 18, 2010

    sijawahi ona mtu anarushwa wakati huohuo unaweka na kionjo cha sifa mbaya - "aliwahi kushindwa"!
    reserve that for another day please.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 18, 2010

    Pretty good!!

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 18, 2010

    That's sacks hommie, sitowagi maoni @ this blog but i feel disgusted with the fact that ulishawahi kushindwa kwenye mashindano ya kumugilizia the real king wacko jacko...i'm asking for your pardon to get disapeared...mucho gracias senor

    ReplyDelete
  14. popobawaMay 18, 2010

    mjomba michuzi!huyu jamaa anajitahid aisee(upande wa kufanana)maana amejikondesha weeeeeee.da hii pesa hii,ila kucheza ajitahidi kuongeza nguvu,,ale chakula...sio kuvua vua kofia tu hapo!
    nimemaliza(ushabana sana maoni yangu ila sichoki)
    mpwa wako wa kufikia:popobawa

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 19, 2010

    Huyu ndie kabisa michael jackson lakini yule anoumwa sio mzima

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 19, 2010

    aliwahi kushindwa katika mashindano ta kumiga Michael Jackson

    Hapo juu mie siulizi kuhusu kushindwa Je pengine kiswahili kimenipiga chenga Mashindano "ta" au Ya kama kuna mtu anaweza kunifahamisha naomba anifahamishe.

    MICHUZI hii Blog jaribu kuweka chini ile older ili kitu kikipita kisitupite.

    ReplyDelete
  17. Jamani ndugu zangu wachache hapo juu mbona mnakua hivyo kwa nini mnakandia hivi kaka wa watu.
    Kwa mtazamo wangu mimi naona anajitahidi tena sana.kama mdu mmoja amesema hapo juu,Kua

    huyu kaka angekua hapa
    Usa angepata soko,kwani anajitahidi sana,Ni mazoezi tu anahitaji akazanie.

    Mdau

    Usa

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 19, 2010

    ha ha haa mj wa bongo hiyo nyweleya darling ni ya kichovu sana weka za brazil ndo utanoga

    ReplyDelete
  19. Kaka yaani we pamoja na usomi wako wote huo pamoja na ekspodzsha yako yote uliyoipata unatuletea haya mambo ya KOLONIO MENTALITI humu?

    Kwa ni i asitokee/usituwekee mtu wa kumuigiza Shabani Marijani, M baraka Mwinshehe au Juma Kilaza?

    Hii ni pyua kolonio mentaliti na infirioriti kompleksi!

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 19, 2010

    Ajifunze pia na moon woker, sio mabega na kuvua kofia tu

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 19, 2010

    Tuache utani kuna watu wakali zaidi na wanafanana sana na michael kama huyu hapa Singapore ana itwa Edward Moss http://www.youtube.com/watch?v=4JJndpIWUI0&feature=related

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 19, 2010

    heri yako mwanaume watafuta pesa kihalali

    ila nimecheka jamani!!

    ReplyDelete
  23. tubadilike!May 20, 2010

    wabongo sie hivi tuna nini? hivi kusifia kitu ni mwiko kabisa kwetu?! huyu angekua mmarekani mngemsifia weeeeeeee mpaka basi ila kwa vile ni mtza na yuko bongo mnamkandia weeeee! kwa kweli hii tabia tupunguze, huyu kafanana sana tu na Wacko Jacko na angekua huku kwa Obama angeula! we tafuta viza uje huku ufanye show uetapeta sana tena Wamaekani watakupenda sana kwa vile wewe ni muAfrica frm a different culture, ila usitegemee kusifiwa na watzania wenzio mpaka utakapoulamba kwanza ukija hapa ndo gafla bin vuu wabongo wataanza kukufagilia, sorry but that is our behaviour! something is clearly wrong with us, God help us!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...