anaitwa John Maganga na aliwahi kushinda katika mashindano ta kumiga Michael Jackson kwa sura na miondoko. Hivi sasa anapatikana Baucha records kwa atakayemtaka kwa shoo ya sherehe yoyote ile iwe harusi, ubatizo na hata shoo za uzinduzi.
anapatikana kwa namba: +255 715 994 995 ama kwa email:baucha38@hotmail.com
Unatuletea mshindwi, kwani mshindi yuko wapi? kama unampigia debe afadhali taarifa ya kushindwa kwake usingeiweka!
ReplyDeletemwambie apunguze mkorogo wa bongo asipoangalia na juwa hili litamfanya awe Rangi ya chungwa Lililoiva na Zambarau anajitahidi. Kimaro.
ReplyDeletehuyu Michael Jackson wa kichovu ! anatingisha mabega na kuvua kofia tu !!
ReplyDeleteametulia
ReplyDeletemdau
Babuu
no need to mention whether alishindwa bwana!
ReplyDeleteAliwahi KUSHINDWA au aliwahi KUSHINDA?! au mwandishi kakosea kuandika. Lakini vyovyote vile jamaa yuko juu. Yaani utadhani Wacko Jacko mwenyewe!
ReplyDeleteAnkal unaweza kuiuza hii clip kwa CNN na Youtube huyu bwana anaweza akapata deal nzuri sana. Kama angekuwa marekani ungeuchinja amefanana kabisa na Jacko na huku wanaweza wakamtengeneza zaidi akaonekana kama jacko kabisa.
ReplyDeleteMdau USA
mbona yuko slow au ni macho yangu tu?
ReplyDeletedamn huyu ni ze wacko jackooo daah! ila kaka michuzi ulitaka kusema alishindaga shindano la kufanana na ze wacko au?maana sijaelewa sentensi yako
ReplyDeleteJamaa anajitahidi, lakini anahitaji 'moves' zaidi maana yuko limited. Watanzania tujaribu kuwa ma-perfectionist, ukiiga kitu kitoke kama kilivyo. Ukiaangalia shoo za waigaji wa majuu utafikiri unamuona Micheal mwenyewe.
ReplyDeletesijawahi ona mtu anarushwa wakati huohuo unaweka na kionjo cha sifa mbaya - "aliwahi kushindwa"!
ReplyDeletereserve that for another day please.
Pretty good!!
ReplyDelete(US Blogger)
That's sacks hommie, sitowagi maoni @ this blog but i feel disgusted with the fact that ulishawahi kushindwa kwenye mashindano ya kumugilizia the real king wacko jacko...i'm asking for your pardon to get disapeared...mucho gracias senor
ReplyDeletemjomba michuzi!huyu jamaa anajitahid aisee(upande wa kufanana)maana amejikondesha weeeeeee.da hii pesa hii,ila kucheza ajitahidi kuongeza nguvu,,ale chakula...sio kuvua vua kofia tu hapo!
ReplyDeletenimemaliza(ushabana sana maoni yangu ila sichoki)
mpwa wako wa kufikia:popobawa
Huyu ndie kabisa michael jackson lakini yule anoumwa sio mzima
ReplyDeletealiwahi kushindwa katika mashindano ta kumiga Michael Jackson
ReplyDeleteHapo juu mie siulizi kuhusu kushindwa Je pengine kiswahili kimenipiga chenga Mashindano "ta" au Ya kama kuna mtu anaweza kunifahamisha naomba anifahamishe.
MICHUZI hii Blog jaribu kuweka chini ile older ili kitu kikipita kisitupite.
Jamani ndugu zangu wachache hapo juu mbona mnakua hivyo kwa nini mnakandia hivi kaka wa watu.
ReplyDeleteKwa mtazamo wangu mimi naona anajitahidi tena sana.kama mdu mmoja amesema hapo juu,Kua
huyu kaka angekua hapa
Usa angepata soko,kwani anajitahidi sana,Ni mazoezi tu anahitaji akazanie.
Mdau
Usa
ha ha haa mj wa bongo hiyo nyweleya darling ni ya kichovu sana weka za brazil ndo utanoga
ReplyDeleteKaka yaani we pamoja na usomi wako wote huo pamoja na ekspodzsha yako yote uliyoipata unatuletea haya mambo ya KOLONIO MENTALITI humu?
ReplyDeleteKwa ni i asitokee/usituwekee mtu wa kumuigiza Shabani Marijani, M baraka Mwinshehe au Juma Kilaza?
Hii ni pyua kolonio mentaliti na infirioriti kompleksi!
Ajifunze pia na moon woker, sio mabega na kuvua kofia tu
ReplyDeleteTuache utani kuna watu wakali zaidi na wanafanana sana na michael kama huyu hapa Singapore ana itwa Edward Moss http://www.youtube.com/watch?v=4JJndpIWUI0&feature=related
ReplyDeleteheri yako mwanaume watafuta pesa kihalali
ReplyDeleteila nimecheka jamani!!
wabongo sie hivi tuna nini? hivi kusifia kitu ni mwiko kabisa kwetu?! huyu angekua mmarekani mngemsifia weeeeeeee mpaka basi ila kwa vile ni mtza na yuko bongo mnamkandia weeeee! kwa kweli hii tabia tupunguze, huyu kafanana sana tu na Wacko Jacko na angekua huku kwa Obama angeula! we tafuta viza uje huku ufanye show uetapeta sana tena Wamaekani watakupenda sana kwa vile wewe ni muAfrica frm a different culture, ila usitegemee kusifiwa na watzania wenzio mpaka utakapoulamba kwanza ukija hapa ndo gafla bin vuu wabongo wataanza kukufagilia, sorry but that is our behaviour! something is clearly wrong with us, God help us!
ReplyDelete