UONGOZI wa Jiji la Dar es Salaam umetakiwa kuzuia ujenzi holela wa majengo yasiyokidhi huduma za jamii, kama unataka Jiji likue kiuchumi.

Umelalamikiwa kwa kuvunja nyumba na kujenga maghorofa bila kuzingatia huduma za majitaka na majisafi, huku pia ukilinda uvamizi wa vuiwanja vya micjhezo, maeneo ya wazi na ufugaji wanuyama mijini.

Changamoto hiyo iilitolewa jana na Shirika la Makazi la Umoja wa Mataifa (UN-Habitat) Kanda ya Afrika na Arabuni, Alioune Badiane, katika mkutano wa uendelezaji na uimarishaji Jiji la Dar es Salaam, ulioshirikisha wadau wa maendeleo wa ndani na nje ya nchi.
Habari kamili




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 04, 2010

    SASA HAPO PARKING ZITAKUWA WAPI NA MAENEO YA WATOTO KUCHEZA DAH SASA TUTAKUWA KAMA INDIA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2010

    Kiswahili KIGUMU!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2010

    Mimi alinisikitisha Mstahiki Meya wa Dar aliposifu na kusema eti Kariakoo siku hizi panapendeza na zamani kulikuwa na vibanda tu!!Kaaz kwelkwel

    Che

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 05, 2010

    Mimi sipendi hawa jamaa wanavyoezeka hawa! Staili za kizamani zamani tu...mambo mazuri mazuri hadi tutoke nje ya nchi bwana! Nyie architects hebu kuweni creative bwana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...