(picha na Amour Nassor VPO)
(picha na Amour Nassor VPO)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
You surely deserve this after tough deliberations on our economies! Rhumba Hoyeee! I did not know some people were this talented!
ReplyDeleteRaila anazuga live, anaombea mziki uishe
ReplyDeleteHii kusakata rumba safi sana. si aibu aibu tuuu...!! jackob zuma anajua hiyo...
ReplyDeleteHapo nina hakika hakuna atakaemshinda Mwanangu mwenyewe Mzee Zuma kwa kusakata dansi hapo.
ReplyDeleteAmini msiamini. Zuma namuaminia babake mwanangu mwenyewe!
Tumefunga mkutano vizuri ila kuna kauli moja nimeisikia hakika ilinisikitisha inasema hivi "we are producing what we can't spend, and we are spending on what we can't produce". Sikutarajia kama ingesemwa na yule aliyeisema kwenye jukwaa la kimataifa kama lile!. Hard to believe!
ReplyDeleteTulikuwa tunasema Baada ya Kazi Kunywa CHIBUKU. Sasa baada ya kazi cheza ngoma!
ReplyDeleteAise huyo mtoto Elsie Kanza bomba kweli, yuko natural kabisa, hana hata nywele za badia, ebu tazama mguu!
ReplyDeleteAnyway they its a typical african affair, they are different, living in their own bubble, sie walalahoi will be picking up the expensive tab, and everything will be forgotten!
Oye JK kwa kuonyesha ulivyo hodari kujali wananchi!
La salale!!!
ReplyDeleteMzee mwenzangu Mh. Dr Shein, kumbe yakhe wajua kuyarudi magoma vilivyo!!!
Mimi nafikiri huyo mshirirka alisema "we're producing what we cant spend and spend what we dont produce kaona mbali saana,kwani mara nyingi mikutano kama hii inaishia kwenye papers tu then in fews month time the organizers will be thinking of another venue some where else and the life goes on and on and on...
ReplyDeletehapo wamekosea wangemuekea Mzee ZUMA kwaito au house ahahahaha wangezimika mzee anazirudi kama hana akili vile
ReplyDelete