Hello all,
I hope all is well with you wherever you are and in what you are trying to accomplish !!!

Jamani, kama kuna mtu anamjua nduguye/rafiki/jamaa ambaye kwa sasa yupo marekani na anategemea kusafiri kurudi Dar es salaam – Tanzania hivi karibuni basi naomba nitaarifiwe

Ninahitaji kumwagiza one of the food supliment ambayo naitumia kwenye combination of the food supplement regime that I am currently trying to fight MY LEUKEMIA

We have failed getting it in all supermarkets in Dar and in Nairobi as well, I am trying to see if we can get it from Zimbabwe or SouthAfrica but it is pretty available in United States of America – Kwenye Health Food Stores. The supplement is called COTTAGE CHEESE, WITH 1% FAT CONTENT IN IT AND SHOULD BE ORGANIC – PRESEVERATIVE FREE

Thanks for your help –
if you know anyone please call me –
0712959358 or 0763820045

Thanks
Fadhili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Pole natumaini Mwenyenzi Mungu atakuengezea nguvu katika kupigana na huo ugonjwa... Just don't give up.....

    Mimi simjui mtu anayekuja bongo sasa hivi lakini nakuulizia unajua ni rahisi sana kutengeneza homemade cottage cheese? Kwanza itakua more organic back there...Cha kufanya ili iwe fat free ni kama huwezi kupata skim milk basi chemsha maziwa yalale usiku nakuondoa yale mafuta ya juu kabla hujayapeleka kwenye process ya kuyagandisha..Nakumbuka tukiwa wadogo bibi yangu kule Moshi alikua anatengeneza homemade butter. Tulikua tunatingisha maziwa kwenye vibuyu mpaka siagi inatokea...Sasa kama unawatoto wakuweza kufanya hivyo wape hiyo kazi. Siagi ikitokea itoe halafu yale maji yanayobakia ndio unatengeneza cottage cheese.

    Recipe zipo nyingi tu online na ni cheaper kutengeneza nyumbani kuliko kununua na nyumbani unajua ni nini unaweka.

    Cottage cheese ingredients:
    Skim Milk or cultured buttermilk
    Vinegar
    Salt

    Kuna recipes nyingine wanatumia hii rennet tablets. Hii ndio sijui kama zipo Tanzania lakini ukitumia cultured buttermilk sio lazima kutumia hii. Hii inasaidia tu maziwa kuwa na taste ya kugandishwa. Direction moja nimecopy lakini unaweza kufuata njia tofauti tu ukigoogle online....

    Directions:
    Pour the skim milk into a large saucepan and place over medium heat. Heat to 120 degrees F.
    (Ni muhimu sana kuzingatia temp ukiwa unatengeneza cheese. Hivyo jaribu kuinvest kwenye floating dairy thermometer au candy thermometer)

    Remove from the heat and gently pour in the vinegar. Stir slowly for 1 to 2 minutes. The curd will separate from the whey. Cover and allow to sit at room temperature for 30 minutes.

    Pour the mixture into a colander lined with a tea towel and allow to sit and drain for 5 minutes. Gather up the edges of the cloth and rinse under cold water for 3 to 5 minutes or until the curd is completely cooled, squeezing and moving the mixture the whole time. Once cooled, squeeze as dry as possible and transfer to a mixing bowl. Add the salt and stir to combine, breaking up the curd into bite-size pieces as you go.

    (Option)
    If ready to serve immediately, stir in the half-and-half or heavy cream.

    If not, transfer to a sealable container and place in the refrigerator. Add the half and half or heavy cream just prior to serving.

    Ukiwa unasubiri upate watu wakukuletea huko sio vibaya ukijaribu kutengeneza mwenyewe.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2010

    Haya ni moja ya mambo muhimu kwenye hii blog yetu, kusaidiana kwa jinsi hii. Kama bado haujapata mtu,muombe Ankal Michuzi, akupe contact zangu, nitakusaidia kaka.Niko Minneapolis, MN hope itakuwepo hapa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2010

    Mdau wa hapo juu nimekumind sana mwananguHuu ndio moyo wa Kizalendo

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2010

    WEWE unasema utamsaidia huku hujaacha contact zako. Hebu wewe hapa ili mtu asaidiwe haraka

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2010

    Mdau hapo juu, umenifurahisha sana kwa roho ya wema ulionao, msaidie ndugu yetu. Na yeyote mwingine anayeweza amsaidie pia kadiri awezavyo. Nitashangaa sana kwa mtu atamjibu bwana Fadhili kwa lugha chafu, ila watu hao wapo tu. Bwana Fadhili, likitokea hilo usiruhusu likuvunje moyo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 20, 2010

    Pole kaka Fadhili. Mungu atakusaidia.

    So unahitaji kiasi gani ili labda pia mtu ajue namna ya ubebaji maana si unajua mambo ya mizigo na nini.

    Mdau wa Kwanza , thanks for ushauri wako mwanana. Ila ku monitor hizo temperature na mazingira yetu haya hatarishi ndo shughuli.
    Anyways, nawatakia wadau heri na najua kuna baadhi watakuwa wameelimika kuhusu hiyo recipe ya Cottage Cheese...

    Peace...

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 20, 2010

    Alternatively, unaweza kuagiza tu mwenyewe bila kutuma mtu. Kama wewe ni mteja wa benki yoyote iyotoa VISA card au kadi yoyote inayofanana nahiyo (ya kimataifa) unaweza kununua online halafu ukaenda DHL ukawapa physical address (ya duka) wakatuma request DHL US wakaichukua then wakakutumia wewe ukaipokelea DHL bongo.
    Cha msingi ni wewe kuwaandikia email hao wauzaji na kuwaeleza kuwa DHL watakwenda ku-collect on your behalf.
    Pole sana.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 20, 2010

    I love U Bongo Gal!, U and Chef Issa. Mungu Awazidishie.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 20, 2010

    kaka ni mawazo tu wala si nia mbaya kama unamfahamu mzungu yoyote wa ubalozi wa marekani au kuna mtu anafahamiana nao jaribu manake wenzetu huwa wanashuga macontenna ya vvakula vyao au ukajaribu lile duka la ma tx pale slip way lakini ni members tu labda uongee na wafanyakazi hope utafanikiwa tuu na pia kuna mtu anakuja huko in ten days vile vile nitampa akuletee
    mdau canada

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 20, 2010

    nimesahau kuhusu contact zangu nitamtumia michuzi atakupa
    mdau canada

    ReplyDelete
  11. Pole sana kaka, nimeguswa sana na ombi lako na ningependa sana nikusaidie coz inanikumbusha kaka yangu aliekufa kwa leukemia karibu miaka 6 nyuma huko UK, ila sijui km msaada wangu utakuwa umefika ktk wkt muafaka, mm naishi Bongo lkn kwa sasa ni Marekani na natarajia kurudi huko katikati ya Aug 2010, km utakuwa bado unahitaji basi utaniandikia kupitia
    mwanaidisa@yahoo.com

    ReplyDelete
  12. Pole sana kaka Fadhili, mm nimeguswa na tatizo na ningependa kukusaidia ila sijui km msaada wangu utakuwa katika wakati muafaka. Mimi ni mkaazi wa bongo ila kwa sasa nipo marekani na nategemea kurudi DSM 14 Aug 10, hivyo km utakuwa bado unahitaji basi utaniandikia kupitia mwana77@gmail.com.
    Pole sana lkn pia jaribu kutafuta hizi dawa zinazotokana na mimea Mungu atakusaidia Inshallah.

    ReplyDelete
  13. Ndugu,

    Nina ndugu yangu anakuja Arusha - Tanzania katika ya mwezi ujao (juni). Tuwasiliane tuone ni vipi nitakusaidia hilo swala.

    waminja@yahoo.com
    SFO - California

    ReplyDelete
  14. Baba UbayaMay 20, 2010

    wadau wengine kwa longo longo.sasa yeye Fadhili ameshaweka contact zake hapo sasa kama wewe unataka kumsaidia si uwasiliane naye tu moja kwa moja badala ya kumpa michuzi contact zako ili yeye Fadhili akutafute?
    jaribu kuwa muungwana na kurahisisha mambo.

    Mdau Fadhili,mimi na mwanangu Ubaya tunakuja huko mwezi ujao hivyo tutawasiliana nawe kwa namba ulizotoa.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 21, 2010

    baba ubaya na wewe una majungu yani sikukumbuka kama aliacha contact zake even better, mie ni mdau wa canada kuna mtu anaondoka huku jumamosi nitampa namba zako atakupigia simu akifika ukachukue
    mdau canada

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...