
Habari zenu Wadau...
Mnakaribishwa kwenye USIKU WA REGGAE.
Mnakaribishwa kwenye USIKU WA REGGAE.
Burudani ya muziki wa LIVE hapa Iringa mjini kwenye ukumbi wa Idydc..Jumapili hii saa 2 usiku hadi usiku wa manane.
Wasambazie wengine tafadhali.
Pamo Jah!
Tuko Sayari moja, tunaishi dunia mbali mbali...
Maisha chemsha bongo, jaza mwenyewe...
Pamo Jah!
Tuko Sayari moja, tunaishi dunia mbali mbali...
Maisha chemsha bongo, jaza mwenyewe...
Mdau Ryhmson.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...