Home
Unlabelled
msekwa ajiandikisha daftari la kura za maoni la CCM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ticha kumbe na wewe kibosile mtaani kwangu!!
ReplyDeleteChe
Hahaha ama kweli CCM ni chama Dume, Kinakusanya mpaka Kina Mudi na Mbwambo, IFM cronies LOL!. Ngoja na mimi nianze kulipia kadi yangu, huwezi jua siku zali linaweza kukuangukia pwaa umeukwaa ukatibu wa Wizara. Au U-Director somewhere!
ReplyDeleteWapendwa wana CCM, nafurahi kuona mnajitahidi kutekeleza taratibu zenu kama katiba yenu inavyohitaji. Ila naomba nitoe maoni juu ya muonekano/sura ya hiyo ofisi ya sijui tawi au vyovyote ilivyo, hailingani na sifa ya CCM, na wadau, au wanachama katika hilo tawi/shina! Naona aibu kumuona Mhe. Makamu Mwenyekiti wa CCM-Taifa, na wapambe walioko nae, wameketi na nyuso za furaha wakitekeleza hatua muhimu ya chama, ndani ya ofisi ambayo hata ukuta wake hauna rangi, ua hadhi inayofanana na chama, au wadau katika tawi/shina hilo! nawaomba mfanye juhudi za makusudi kutengeneza hiyo ofisi ilingane na sifa yenu! Hata kama mnaingia ofisi hiyo kila baada ya miaka "mitano" namaanisha chaguzi zinapokaribia!! Mniwie radhi iwapo nitawakera kwa maoni yangu!
ReplyDeleteMungu awabariki katika shughuli za ujenzi wa Taifa letu!
ESK!
spot on anonymous 07.54 pm.....
ReplyDeleteKwanini wasiwe wanaenda kujiandikisha na kupiga kura majimboni/vijijini/mijini kwao
ReplyDeletetunaomba mtuachie na sisi vijana jamani lakini daaah wazeee tumechokaaa
ReplyDeletekibabu kati Wa busara...
ReplyDeleteNIA YA DAFTARI HILI NI KUWADHIBITI WAFANYABIASHARA WASIOCHANGIA CCM KWANI HAWATAKUWEMO KWENYE HILO DAFTARI, PIA WAKAZI MITAANI WATAJULIKANA NANI WAPINZANI NA HIVYO KUNYIMWA HAKI ZAO, KURA NI SIRI NA HIVYO SI SAHIHI KUJUA NANI ATAKAYEKUPIGIA KURA. CCM ITATUMIA DAFTARI HILI KUHESABIA KURA! HAKUNA SABABU YA KUWA NA UCHAGUZI, TUJIULIZE NA HUKO PEMBA CUF IKIANDIKISHA WATAKAOKIPIGIA KURA NA IKATUMIA KAMA USHAHIDI KWENYE UCHAGUZI DHIDI YA CCM ITAKUWAJE? HUU MTINDO WANANCHI TUUKATAE KWANI UNAWEZA KULETA VURUGU KWENYE MAJIMBO MBALI MBALI.
ReplyDelete