Wamarekani wenye asili ya Lebanon wakifurahia ushindi wa Rima Fakih kuwa Miss USA 2010 huko Las Vegas usiku wa kuamkia leo na kuwa mwanamke mwenye asili ya kiarabub wa kwanza kutwaa taji hilo.Rima Fakih akivikwa taji la Miss USA 2010
Rima katika vazi la ufukweni Rima katika vazi la kuogelea
Miss Michigan Rima Fakih (kati) akiwa na washiriki wa Miss USA 2010 Morgan Elizabeth Woolard (shoto) na Jessica Hartman wakati wa fainali hizo usiku wa kuamkia leo jijini Las Vegas
Rima Fakih akishiriki kwenye vazi la jioni ambalo alikula nalo mwereka...
kwa chanzo na habari zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2010

    ni poa tuuu mbona hata sie richa alishinda miss tanzania na alikuwa mhindi lakini wa bongo na mwaka huu ni miss tz full mzungu

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2010

    anahitaji ulinzi wakutosha

    ReplyDelete
  3. Mweh! Mweh! Mweh!

    Akirudi kwao WANAMUUA huyo.

    Nyie subirini tu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2010

    Politics.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 17, 2010

    Hizi zote siasa ENgland nako mwaka jana alishinda Mwarabu sababu muislamu walimpa kusudi bahati mbaya alishindwa kwenda south africa alipata matatizo ya Jicho moja akajitowa aliumia jicho na kutokuona jicho moja.... ni Siasa tu hajashinda wala nini. na kama mdau juu hakuna jipya mbona Tanzania kashinda Muhindi bado muzungu ya Sweden. James.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 17, 2010

    Huyu mwarabu wa Lebanon Mkristo ila still ni Siasa tu hizo za Wamarekani Wazungu wanakuwa wanaona watu wa nje kama Washamba wasipofanya vitu hivyo wapo nyuma wakalale mbele.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 17, 2010

    mdau wa tatu GROW UP!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 17, 2010

    Marekani hamna ubaguzi wa kijinga. Hii ndio Eden yenyewe. I am glad to be living here

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 17, 2010

    She is not the first Arab American to be Miss USA. She is the second, the first one won in 1983

    ReplyDelete
  10. PETER NALITOLELAMay 17, 2010

    HIKI KIFAA MARIDADI SANA IF MY FRIEND THE ONLY BILLIONAIRE IN EAST AFRICA UNDER 24 YEARS OLD MUHESHIMIA HASHEEM THABIT AKIKITAKA INAKUWA KAMA KUMUPIGA MUTAMA TID LOL1! NA MIMI NAANZA KUCHEZA BASKETBALL KUNA LIPA HUKO. MY BROTHER HASHEEM HII KITU INALIPA HEBU TUCHUKULIE WIFE WA KIARABU THEN MISS USA THAT WILL BE BUM BUM I RESPECT YOU VERY MUCH SINCE YOU HIT THAT TID YOU HAVE GOT SO MANY FUNS AROUNDS YOU AND ME SO MISSS USA ARAB IS NEXT DOOR

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 17, 2010

    Hivi watu mmeyaona hayo mashindano au mnasema kwa kudhania tuu. Kwani America ni ya nani maana akishinda mzungu mnasema ubaguzi akishinda mweusi kapewa , huyu mnasema siasa. Kwa hiyo Obama naye ni 'Siasa' sio?

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 17, 2010

    Kwa hiyo Hasheem apendwe kwa pesa zake na sio kwa jinsi alivyo sio??? Jamaa karudi bongo kutafuta mchumba halafu wewe unasema akawekeze kwa waarabu.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 18, 2010

    LEBANON WAISLAMU NA WAKRISTO NI 50 KWA 50 NA HUYU DADA NI MKRITO SI MWISLAMU, PIA LEBANON NI SECULAR COUNTRY HAINA UDINI, KWANZA KABISA ILIKUWA NI NCHI YA KIKRISTO NI BAADAYE TU WALIPOKUJA WAEENEZI WA DINI NYINGINI NDO IMECHANGANYIKA. NIMEKAA LEBANONO MIAKA 22 NI NCHI POA SANA TOTOZ NI ZA KUMWAGA NJE NJE TU, WALA HAWANA NOMA ZA UDINI. NI ENGLAND MWAKA JANA HAKUSHINDA WARABU HUO NI USHUZI ALISHINDA MWAFRIKA MWENYE ASILI YA JAMAICA, HAKWENDA KWENYE FAINALI KWA VILE ALIPIGANA KWENYE NIGHT CLUB HUKO MANCHESTER KUGOMBANIA BOYFRIEND WAKAMVUA U-MISS AKAENDA SECOND RUNNER. ACHENI UZUSHI.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 18, 2010

    Si musilamu na alikuwa stripper

    soma hapa

    http://www.eonline.com/uberblog/b181364_miss_usa_has_secret_stripper_past_why.html?cmpid=rss-000000-rssfeed-365-topstories&utm_source=eonline&utm_medium=rssfeeds&utm_campaign=rss_topstories

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 18, 2010

    Huh huyu mdada mbona kama vile si mzima jamani..!! Huu uwembamba kama vile ana tatizo la eating disorder ,"Anorexia Nevosa" au..??

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 18, 2010

    Hasimu ati karudi bongo kutafuta mchumba wakati mwka jana alikuja na deme wake..Lol au kaisham-dupmle nini..??!!!!

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 18, 2010

    Hii imepangwa ili kuwapunguze makali ya kutuwekea mabomu kila siku...Hapa NY city hatulali kila siku ni habari za wajomba zake kutaka kutulipua tu...Aghhhhh

    Naona wanataka kuwaambia mnatusema na culture yetu wakati watoto wenu nao waenda kwa mwendo huo huo

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 18, 2010

    Brother hapo juu,Bibie ni mwislamu Soma http://www.buzztab.com/entertainment/miss-america-time-muslim-lady/

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 18, 2010

    ovyo kabebeni boksi huko,kama jambo hujui usipige mayowe u better remain quiet rather thn proving your stupid empty head,kuna miss usa na miss america ni mashindano ma2 tofauti kabisa huyu ni miss usa mwarabu wa kwanza, miss usa goes to miss universe by donald trump, miss america goes to miss world mpo hapo? na huyu ana asili ya lebanon tena muislamu kama hujui ingia missusa.com sio mnaongea tu msivovijua boksi manbeba masaa 18, darasani masaa 2 kulala masaa 4 na viji associate vyenu mtajua wapi mambo ya wenye fwedha haya pambaf,miyooooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  20. MI NASHAURI WATU WAWE NA TABIA YA KUTAFITI KABLA YA KU-POST HUMU. KWA MUJIBU WA WAANDAAJI WA MISS USA HAKUNA REKODI ZA KUTOSHA KUTHIBITISHA KWAMBA HUYO DADA NI MWARABU AU MUHAMIAJI WA KWANZA KUSHINDA TAJI HILO. PIA MKUMBUKE KWAMBA HII MI MISS USA SIYO MISS AMERICA KAMA WATU WENGI WANAVYODHANI.MISS USA ANASHIRIKI MISS UNIVERSE NA MISS AMERICA ANASHIRIKI MISS WORLD

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 18, 2010

    Nyie mnaoshindana hapa na kuweka link juu ya kuwa huyu binti ni muisilamu au si muisilamu mna nini?

    kwani hizo link zenu ndio daima ziko sawa? kwani kila newspaper au b log husema kweli?

    ukweli usiokatalika ni kuwa ana asili ya lebanon kwa maana hiyo ana damu ya kiarabu.

    Now kuwa mwarabu wa lebanon hakumaanishi kuwa yeye ni muislamu au ni mkristo.

    watu wengi duniani wanaamini kimakosa kuwa kila muarabu ni muislamu, jambo amabalo sio kweli.

    Ni mtu mmoja tu ndie anaeweza kuthibitisha ukweli nae hajasema kitu, ni yeye mwenyewe huyu binti, tusubiri naamini patakuwa na mahojiano na tv stations au magazeti na issue ya dini yake litajadiliwa.

    Hadi hapo nadhani kila mmoja anyamaze kwani hatujui ukweli ni upi.

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 18, 2010

    Hii ni danganya toto ama changa la macho. Wamarekani, mmekwishalikoroga, mtalinywa huku mnalia.

    Suluhu, ni kuondoa majeshi kwenye nchi za watu na kuacha mapigano. Mnasababisha vifo vya watu mamluki wasio na hatia na ambavyo vingeweza kuepukika. Mbadilishe sera yenu ya mambo ya nje / uhusiano wa kimataifa. Hizi rasha rasha sidhani kama zinasaidia sana.

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 18, 2010

    WATU WENGINE HUMU NDANI HAMJUI HATA MNAONGEA NINI

    MTU ANAFANANISHA MAREKANI NA BONGO HAJUI KUWA MAREKANI NI CHI YA WATU WOTE HAINA MWARABU HAINA MZUNGU HAINA MHINDI HAINA LATINO HAMNA ASIA

    SASA WATU WANASHANGAA HUYO MLEBANON KUSHINDA MISS MAREKANI WANAONA NI JAMBO GENI NA NI VIZURI MNGEINGIA KIUNDANI KUIJUWA LEBANON

    LEBANON NI NCHI YA WARABU WALIOJICHANGANYA MAVAZI HAYO YAPO HATA HUKO KWAO NCHI YAO NI BOMBA NA INA MAENDELEO KAMA EUROPE

    MSIFANANISHE LEBANON NA NCHI ZENYE MSIMAMO WA KIDINI AMBAZO KUVAA MAVAZI KAMA HAYO NI HATARI

    WABONGO WAKISIKIA MWARABU BASI WANAONA NI YULE YULE WA IRAQ WA SAUDIA AU WA NCHI ZENYE MISIMAMO YA KIDINI

    LEBANON WATU WA AMERICA NA EUROPE WANAKUTUMIA SANA KWENDA KUENJOY VACATION ZAO SABABU KUNA MARAHA YOTE UNAYOYAJUWA WEWE NI NCHI ILIYOJIACHIA KWA MAMBO YA KISASA

    KUNA WAKRISTO NA WAISLAM

    NA HAPO HAMNA SIASA HICHO KIFAA NI KIKALI NA KAMA MNAFATILIA KWENYE HISTORY MTAJUWA KUWA NCHI YA KWANZA YENYE WAREMBO DUNIANI NI LEBANON

    LEBANON NDIO NCHI YA KWANZA KUWA NA WAREMBO DUNIANI HILO LINAFAHAMIKA DUNIANI KOTE.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 18, 2010

    KAKA MICHUZI HAKUANGUKA HUYO ALIJIKWAA NA GAUNI KIDOGO AANGUKE BUT SHE TOOK CONTOL OF THE SITUATION AND WON! ROGER THAT!

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 18, 2010

    Hivi tutaacha lini ujuaji wa kishamba, mbona comments za watu wengi humu huwa ni uongo uongo. Jamani mnaharibu jina la blog watu wanapenda facts, aaarrrgghhh!

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 18, 2010

    mimi ni mwarabu na naona huyu dada anatudhalilisha sisi waarabu , nitafurahi akiuliwa wengine wapate fundisho... waarabu hatutembei na vichupi hadharani ni kwa mumeo tu chumbani...basi

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 18, 2010

    Kwa PETER NALITOLELA


    Ama hakika inafurahisha tena inatia moyo hasa kuona Watanzania wakifurahia mafanikio ya Watanzania wengine. Ila ni dhahir kwamba, jinsi unavyomshabikia Hashim Thabit, imepitiliza.

    Tueleweshe japo kwa ufupi kama ushabiki huo ni wa BURE tu, au kuna MALIPO na KIFUTA JASHO unachopewa? Maana inatutia mashaka kumshabikia mwana wa mwenzio kiasi hiko.

    Tunaamini kuwa kuna MALIPOna KIFUTA JASHO.

    Swali, je MALIPO na KIFUTA JASHO upewacho, ni IN CASH au IN KIND?

    Mwarabu,
    ATL,
    US.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...