

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ni poa tuuu mbona hata sie richa alishinda miss tanzania na alikuwa mhindi lakini wa bongo na mwaka huu ni miss tz full mzungu
ReplyDeleteanahitaji ulinzi wakutosha
ReplyDeleteMweh! Mweh! Mweh!
ReplyDeleteAkirudi kwao WANAMUUA huyo.
Nyie subirini tu.
Politics.
ReplyDeleteHizi zote siasa ENgland nako mwaka jana alishinda Mwarabu sababu muislamu walimpa kusudi bahati mbaya alishindwa kwenda south africa alipata matatizo ya Jicho moja akajitowa aliumia jicho na kutokuona jicho moja.... ni Siasa tu hajashinda wala nini. na kama mdau juu hakuna jipya mbona Tanzania kashinda Muhindi bado muzungu ya Sweden. James.
ReplyDeleteHuyu mwarabu wa Lebanon Mkristo ila still ni Siasa tu hizo za Wamarekani Wazungu wanakuwa wanaona watu wa nje kama Washamba wasipofanya vitu hivyo wapo nyuma wakalale mbele.
ReplyDeletemdau wa tatu GROW UP!
ReplyDeleteMarekani hamna ubaguzi wa kijinga. Hii ndio Eden yenyewe. I am glad to be living here
ReplyDeleteShe is not the first Arab American to be Miss USA. She is the second, the first one won in 1983
ReplyDeleteHIKI KIFAA MARIDADI SANA IF MY FRIEND THE ONLY BILLIONAIRE IN EAST AFRICA UNDER 24 YEARS OLD MUHESHIMIA HASHEEM THABIT AKIKITAKA INAKUWA KAMA KUMUPIGA MUTAMA TID LOL1! NA MIMI NAANZA KUCHEZA BASKETBALL KUNA LIPA HUKO. MY BROTHER HASHEEM HII KITU INALIPA HEBU TUCHUKULIE WIFE WA KIARABU THEN MISS USA THAT WILL BE BUM BUM I RESPECT YOU VERY MUCH SINCE YOU HIT THAT TID YOU HAVE GOT SO MANY FUNS AROUNDS YOU AND ME SO MISSS USA ARAB IS NEXT DOOR
ReplyDeleteHivi watu mmeyaona hayo mashindano au mnasema kwa kudhania tuu. Kwani America ni ya nani maana akishinda mzungu mnasema ubaguzi akishinda mweusi kapewa , huyu mnasema siasa. Kwa hiyo Obama naye ni 'Siasa' sio?
ReplyDeleteKwa hiyo Hasheem apendwe kwa pesa zake na sio kwa jinsi alivyo sio??? Jamaa karudi bongo kutafuta mchumba halafu wewe unasema akawekeze kwa waarabu.
ReplyDeleteLEBANON WAISLAMU NA WAKRISTO NI 50 KWA 50 NA HUYU DADA NI MKRITO SI MWISLAMU, PIA LEBANON NI SECULAR COUNTRY HAINA UDINI, KWANZA KABISA ILIKUWA NI NCHI YA KIKRISTO NI BAADAYE TU WALIPOKUJA WAEENEZI WA DINI NYINGINI NDO IMECHANGANYIKA. NIMEKAA LEBANONO MIAKA 22 NI NCHI POA SANA TOTOZ NI ZA KUMWAGA NJE NJE TU, WALA HAWANA NOMA ZA UDINI. NI ENGLAND MWAKA JANA HAKUSHINDA WARABU HUO NI USHUZI ALISHINDA MWAFRIKA MWENYE ASILI YA JAMAICA, HAKWENDA KWENYE FAINALI KWA VILE ALIPIGANA KWENYE NIGHT CLUB HUKO MANCHESTER KUGOMBANIA BOYFRIEND WAKAMVUA U-MISS AKAENDA SECOND RUNNER. ACHENI UZUSHI.
ReplyDeleteSi musilamu na alikuwa stripper
ReplyDeletesoma hapa
http://www.eonline.com/uberblog/b181364_miss_usa_has_secret_stripper_past_why.html?cmpid=rss-000000-rssfeed-365-topstories&utm_source=eonline&utm_medium=rssfeeds&utm_campaign=rss_topstories
Huh huyu mdada mbona kama vile si mzima jamani..!! Huu uwembamba kama vile ana tatizo la eating disorder ,"Anorexia Nevosa" au..??
ReplyDeleteHasimu ati karudi bongo kutafuta mchumba wakati mwka jana alikuja na deme wake..Lol au kaisham-dupmle nini..??!!!!
ReplyDeleteHii imepangwa ili kuwapunguze makali ya kutuwekea mabomu kila siku...Hapa NY city hatulali kila siku ni habari za wajomba zake kutaka kutulipua tu...Aghhhhh
ReplyDeleteNaona wanataka kuwaambia mnatusema na culture yetu wakati watoto wenu nao waenda kwa mwendo huo huo
Brother hapo juu,Bibie ni mwislamu Soma http://www.buzztab.com/entertainment/miss-america-time-muslim-lady/
ReplyDeleteovyo kabebeni boksi huko,kama jambo hujui usipige mayowe u better remain quiet rather thn proving your stupid empty head,kuna miss usa na miss america ni mashindano ma2 tofauti kabisa huyu ni miss usa mwarabu wa kwanza, miss usa goes to miss universe by donald trump, miss america goes to miss world mpo hapo? na huyu ana asili ya lebanon tena muislamu kama hujui ingia missusa.com sio mnaongea tu msivovijua boksi manbeba masaa 18, darasani masaa 2 kulala masaa 4 na viji associate vyenu mtajua wapi mambo ya wenye fwedha haya pambaf,miyooooooooooooooooooooooo
ReplyDeleteMI NASHAURI WATU WAWE NA TABIA YA KUTAFITI KABLA YA KU-POST HUMU. KWA MUJIBU WA WAANDAAJI WA MISS USA HAKUNA REKODI ZA KUTOSHA KUTHIBITISHA KWAMBA HUYO DADA NI MWARABU AU MUHAMIAJI WA KWANZA KUSHINDA TAJI HILO. PIA MKUMBUKE KWAMBA HII MI MISS USA SIYO MISS AMERICA KAMA WATU WENGI WANAVYODHANI.MISS USA ANASHIRIKI MISS UNIVERSE NA MISS AMERICA ANASHIRIKI MISS WORLD
ReplyDeleteNyie mnaoshindana hapa na kuweka link juu ya kuwa huyu binti ni muisilamu au si muisilamu mna nini?
ReplyDeletekwani hizo link zenu ndio daima ziko sawa? kwani kila newspaper au b log husema kweli?
ukweli usiokatalika ni kuwa ana asili ya lebanon kwa maana hiyo ana damu ya kiarabu.
Now kuwa mwarabu wa lebanon hakumaanishi kuwa yeye ni muislamu au ni mkristo.
watu wengi duniani wanaamini kimakosa kuwa kila muarabu ni muislamu, jambo amabalo sio kweli.
Ni mtu mmoja tu ndie anaeweza kuthibitisha ukweli nae hajasema kitu, ni yeye mwenyewe huyu binti, tusubiri naamini patakuwa na mahojiano na tv stations au magazeti na issue ya dini yake litajadiliwa.
Hadi hapo nadhani kila mmoja anyamaze kwani hatujui ukweli ni upi.
Hii ni danganya toto ama changa la macho. Wamarekani, mmekwishalikoroga, mtalinywa huku mnalia.
ReplyDeleteSuluhu, ni kuondoa majeshi kwenye nchi za watu na kuacha mapigano. Mnasababisha vifo vya watu mamluki wasio na hatia na ambavyo vingeweza kuepukika. Mbadilishe sera yenu ya mambo ya nje / uhusiano wa kimataifa. Hizi rasha rasha sidhani kama zinasaidia sana.
WATU WENGINE HUMU NDANI HAMJUI HATA MNAONGEA NINI
ReplyDeleteMTU ANAFANANISHA MAREKANI NA BONGO HAJUI KUWA MAREKANI NI CHI YA WATU WOTE HAINA MWARABU HAINA MZUNGU HAINA MHINDI HAINA LATINO HAMNA ASIA
SASA WATU WANASHANGAA HUYO MLEBANON KUSHINDA MISS MAREKANI WANAONA NI JAMBO GENI NA NI VIZURI MNGEINGIA KIUNDANI KUIJUWA LEBANON
LEBANON NI NCHI YA WARABU WALIOJICHANGANYA MAVAZI HAYO YAPO HATA HUKO KWAO NCHI YAO NI BOMBA NA INA MAENDELEO KAMA EUROPE
MSIFANANISHE LEBANON NA NCHI ZENYE MSIMAMO WA KIDINI AMBAZO KUVAA MAVAZI KAMA HAYO NI HATARI
WABONGO WAKISIKIA MWARABU BASI WANAONA NI YULE YULE WA IRAQ WA SAUDIA AU WA NCHI ZENYE MISIMAMO YA KIDINI
LEBANON WATU WA AMERICA NA EUROPE WANAKUTUMIA SANA KWENDA KUENJOY VACATION ZAO SABABU KUNA MARAHA YOTE UNAYOYAJUWA WEWE NI NCHI ILIYOJIACHIA KWA MAMBO YA KISASA
KUNA WAKRISTO NA WAISLAM
NA HAPO HAMNA SIASA HICHO KIFAA NI KIKALI NA KAMA MNAFATILIA KWENYE HISTORY MTAJUWA KUWA NCHI YA KWANZA YENYE WAREMBO DUNIANI NI LEBANON
LEBANON NDIO NCHI YA KWANZA KUWA NA WAREMBO DUNIANI HILO LINAFAHAMIKA DUNIANI KOTE.
KAKA MICHUZI HAKUANGUKA HUYO ALIJIKWAA NA GAUNI KIDOGO AANGUKE BUT SHE TOOK CONTOL OF THE SITUATION AND WON! ROGER THAT!
ReplyDeleteHivi tutaacha lini ujuaji wa kishamba, mbona comments za watu wengi humu huwa ni uongo uongo. Jamani mnaharibu jina la blog watu wanapenda facts, aaarrrgghhh!
ReplyDeletemimi ni mwarabu na naona huyu dada anatudhalilisha sisi waarabu , nitafurahi akiuliwa wengine wapate fundisho... waarabu hatutembei na vichupi hadharani ni kwa mumeo tu chumbani...basi
ReplyDeleteKwa PETER NALITOLELA
ReplyDeleteAma hakika inafurahisha tena inatia moyo hasa kuona Watanzania wakifurahia mafanikio ya Watanzania wengine. Ila ni dhahir kwamba, jinsi unavyomshabikia Hashim Thabit, imepitiliza.
Tueleweshe japo kwa ufupi kama ushabiki huo ni wa BURE tu, au kuna MALIPO na KIFUTA JASHO unachopewa? Maana inatutia mashaka kumshabikia mwana wa mwenzio kiasi hiko.
Tunaamini kuwa kuna MALIPOna KIFUTA JASHO.
Swali, je MALIPO na KIFUTA JASHO upewacho, ni IN CASH au IN KIND?
Mwarabu,
ATL,
US.