kikosi kabambe cha timu ya soka ya TANZANIA BROADCASTING CORPORATION (TBC)-THE TBC WORRIERS.jamani msiogope kucheza mechi nasi hatutowafunga magoli mengi wandugu!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2010

    Hivi hilo jina kweli ni sahihi?

    Neno la "Worriers" maana yake ni "wenye wasiwasi".

    Neno la "Warriors" maana yake ni "Wapiganaji".

    Hivyo nina hisi kwamba timu itakuwa imechagua hilo neno la pili na sio lile la kwanza. Au sivyo?

    Mdau.

    ReplyDelete
  2. ...but what do they worry about?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2010

    Mkuu, mimi nadhani hawa ni TBC WARRIORS (wapiganaji shujaa wa TBC) na SI TBC WORRIERS (watu wenye wasiwasi wa TBC). Au...........??????? Hemedi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2010

    MIND YOUR LANGUAGE!!!!!
    TBC WORRIERS?
    Yaani jamaa wa TBC wenye wasi-wasi?
    Sasa kama nyie wasi-wasi mtafunga nani?
    Au ulimaanisha TBC WARRIORS

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 08, 2010

    Worriers ....hahahaha what r u worried about kama si kufungwa saaaana

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 08, 2010

    Du! yaani shirika la utangazaji msamiati unawapiga chenga, vipi tena TBC(Tanzania Broadcasting Corporation).

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 08, 2010

    KAKA MICHUZI,HAO NI TBC WORRIERS AU TBC WARRIORS??
    YAANI NI WANA-WASIWASI
    AU WANA-JESHI??

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 08, 2010

    Inasikitisha, vijana wadogo kabisa ila vitambi sijuwi nifananishe na nini. Kwani hamfanyaji mazoezi jamani?

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 09, 2010

    Mkuu, hawa na warriors (wapiganaji mashujaa) au worriers (watu wenye wasiwasi saa zote)?

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 10, 2010

    Lol namwona mkumbaru na kaka yetu lol jina limenitoka kwa mambo fulani ya maakul ndo mwenyewe lolmbarikiwe longtime jamani!!can't spot anyone else!!!aibu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...