Kwa yeyote anayetaka, unaweza kufuatilia mkutano wa Dunia kuhusu Uchumi barani Afrika kupitia LIVE streaming video (wakati mwingine video inakufa inabadi sauti tu, wakati mwingine sauti nayo inakufa inabaki tu picha yaani...) ila wataweka sessions hizo kama viporo kwenye tovuti ya WEF Linki:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. I am trying to check hii link uliyotoa naona chenga tu, intaneti zetu sijui toka simba net, siikom ,zaniteli ni kimeeeeo tu labda walio Ughaibuni au Rwanda ndo itakuwa mswano..

    Ngoja tusubiri kuona kwenye kininga baadae kwetu Mburahati kwa mfuga mbwa.

    Ni mimi Maliaga.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2010

    Wabongo hatufaidiki kwa lolote na mkutano huu!! mbongo halisi ataambulia kukaa kwenye daladala masaa kibao kwa ajili ya foleni kwa wiki nzima (3-7 may) na kuamka mapema kwa kudhani labda atawahi foleni na kufika home saa nne usiku hoi !! Watakaofaidika ni Mlimani city na wenye magari ya kukodisha, mahoteli makubwa ya wazungu ambao mwisho wa siku hawatalipa kodi na viondozi wengine kwa kugawana posho na 10% kutoka kwa suppliers mbali mbali!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 05, 2010

    kwa kweli mr president angejiandaa vyema kujibu hayo maswali ipasavyo manake mh!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 05, 2010

    Braza Michu

    Hivi nyie hamruhusiwei pale? mbona hatuoni pich aza pale tukioni ?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 06, 2010

    Yaani inapatikana swaafi, niko Norway ninaiona bila chenga. Shukrani ankal kwa kutupa link.

    The Kalija

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...