Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Amani Abeid Karume, (kulia) akisisitiza jambo baada ya mazungumzo yao na Msimamizi wa miradi ya maendeleo ya shirika la kimataifa la UNDP,Helen Clark alipofika Ikulu Mjini Zanzibar, leo. (Picha na Ramadhan Othman Ikulu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2010

    Mkuu,

    Kama sijakosea huyu Mama alinituza medali mwaka '91, mjini Auckland, New Zealand miye pamoja na wenzangu watano. Wakati huo akiwa Meya wa jiji la Auckland kabla hajawa Waziri Mkuu na baadaye kupata wadhifa huu. Wale wenzangu mnaokumbuka vyema zaidi naomba mnisahihishe.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2010

    Ni si yeye

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...