---------------------------------------
"e bwana hawa jamaa wameshaanza kweli inaelekea.
ila hawajatoa tamko la kutulinda sisi tulio kwenda ofisini kwao kuwaambia kua tumepangishwa walio tupangisha nao wanasema tuhame kwenye nyumba zao tarehe 30/05/2010 sasa sijui watamkuta nani. Naomba nyinyi watu wa habari muwaendee hawa watu NHC watoe tamko la kukataza watu kuondolewa kwenye nyumba zao ili wakija watukute
wapate ukweli "
Mdau wa NHC
Hii haijakaa vizuri kabisa. Kuna mtu anataka kuwapa ndugu zake hizo nyumba tu...
ReplyDeleteKwani kusublet hairuhusiwi?
ni sawa kabisa kuna jamaa wengine wanapingisha hizo nyumba kwa bei mabaya mpaka laki saba wakati wao wanalipa laki moja kwa mwezi wizi mtupu safi saana.
ReplyDeleteNa watakao pewa hizo nyumba ni wahindi tu. Hamna kitu hapo. Haya uncle nibanie na hii
ReplyDeleteWEE JAMAA WA JUU UNAULIZA JIBU, ANKAL AU AUNT? KWANI HUJUI KUWA 'SUBLET' IS ILLEGAL?
ReplyDeleteHAIRUHUSIWI KU-SUBLET.
inanyoonekana ulikuwa hufahamu ndio maana umeuliza, ndugu. Kwahiyo nimejibu swali lako kuhusu ku-sublet. NAOMBA KUWAKILISHA. Shukrani.
Annon wa may 20 07:21 ni hivi;
ReplyDeleteKisheria ,hata kwenye mkataba imeandikwa hauruhusiwi Kusublet UNLESS kwa maandishi kati ya mpangaji na Mwenye nyumba NHC..Hivyo inaruhusiwa lakini siyo kienyeji!!!!