TIMU YA HARASS EL HODOOD INAZIDI KUIANGUSHIA MVUA YA MAGOLI TIMU YA SIMBA MARA BAADA KUIFUNGA BAO LA TANO MNAMO DAKIKA YA 30 YA MCHEZO HUO KATIKA KIPINDI CHA PILI NA KUFANYA MATOKEKU KUWA 5-1.
Home
Unlabelled
simba yachapwa bao la tano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


wanasema refa amewaua lakini haohao wanasema wamepata nafasi tano wametumia nafasi moja. sasa sielewi hapa refa anatatizo gani?
ReplyDeleteTatizo ni uwezo sio refa kama wanvyomsingizia.
Saaaafiiiiii, Safi Sana! Magoli kama Basketball vile! Walijiamini sana, Wanyama hawa! ... "Malipo ni Duniani, Akhera Kuhesabiwaaa"... Egypt Oyeeeee!
ReplyDeleteha ha ha ha! walisema hawana "allergy" na waarabu sasa kipigo cha namna hii imekuwaje. ila tunashukuru maana sasa tutahema. mdomo ulizidi
ReplyDeletetimu zetu kama kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa!!!!! aibu tupu
ReplyDeleteWambura ameanza kazi!
ReplyDeleteAAHHH WAZEE WA MECHI ZA K IMATAIFA MNAZIDI KULITIA AIBU TAIFA. ENYIMBA AGGREGATE ILIKUWA 7-1 LEO 6-3. MNAZIDI KIJITAHIDI LAKINI, MWAKA UJAO MNAWEZA PATA 5-3. HONGERENI KUPUNGUZA GAP.
ReplyDeleteDuh jamani hii ndio timu yenye Best goal scorer, Best Coach, Best Goalkeeper AIBU!!!!!! Ubora wa Kaseja uko wapi??? Ati ANKAL MICHU hawa Kama BWAWA LA MAINI VILE!!!!
ReplyDeleteDuh kweli HARAS EL HOOD wamewa-HARASI hasa Simba. yaani wanapigwa mkono kama wanachuma matango vile
ReplyDeleteYAMEKUWA HAYA TENA! ALBA!kumbe afadhali ile timu ingine........
ReplyDeletesalaaalah!!!!!
ReplyDeletehaya ni maoni ya wanamichezo kweli?au wamachinga wa k'koo
ReplyDeletemlipobahatika kufunga vile vigoli mlijiona mmewini shughuli kumbe walikuwa wanawachora mmeona leo mmechezeshwa netball hamna lolote ubishoo wenu bongo tuu mmefuliaaaa safi sana kwa kichapo mkome kuchonga ati mnyama leo ikawaje?
ReplyDeletehizo ni jeulos 2 sasa mkapige debe ubungo basi msaidiane pale au mtangaze cnn na bbc.
ReplyDeleteGoli tano kama alizofungwa Mustafa Bathez na timu ya taifa.
ReplyDeleteMithupu hebu tupe list ya timu yetu iliyocheza jana, golikipa alikuwa nani?
ha ha ha ni pale mnyama anapogeuka kuwa mbwa koko jeuri yenu TZ tu si mmejifanya mnamaliza ligi bila kufugwa sasa mlikuwa mnabana nini yaani ni wastani wa kila dk 20 goli...........aibu yao aibu yetu? aibu yao wenyewe
ReplyDeleteha ha ha ni pale mnyama anapogeuka kuwa mbwa koko jeuri yenu TZ tu si mmejifanya mnamaliza ligi bila kufugwa sasa mlikuwa mnabana nini yaani ni wastani wa kila dk 20 goli...........aibu yao aibu yetu? aibu yao wenyewe
ReplyDeleteSijui kwa nini Phiri Hakumpanga Tanzania One na alimweka nnje Musa Magoli
ReplyDeleteSIMBA KAPAKATWA
ReplyDeleteOhh Kseja, Ohh Maximo anamchukia kipa no. One.
ReplyDeleteSii huyu huyu Kaseja alikula za Enyimba na El Hood cha aajabu nini.
Wabongo bado tuna kazi kub wa kufikia kiwango cha Wamisri