Katibu Mkuu wa TFF Frederick Mwakalebela akitangaza washindi wa zawadi za ligi kuu ya vodacom zilizotolewa sasa hivi na kampuni hiyo ya simu za mkononi katika hoteli ya New Africa jijini Dar. Wengine toka shoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Ephraim Mafuru, Naibu Waziri wa Habari Michezo na Utamaduni, Mh. Joel Bendera, Meneja wa Matukio wa Vodacom Rukia Mtingwa na George Rwehumbiza
Refarii bora Oden Mbaga akipokea zawadi yake na kitita cha shilingi milioni mbili unusu

Zawadi ya Uchezaji bora iliyoenda kwa Mrisho Ngassa
ikipokelewa kwa niaba na Abdi Kassim
Mwenyekiti wa Yanga akipokea mfano wa hundi
ya shilingi milioni 15 ya mshindi wa pili
Katibu Mkuu wa African Lyon Jeshi Zakaria akipokea zawadi ya timu yenye nidhamu
Mwenyekiti wa Azam FC Mzee Saidi Mohamed akipokea zawadi ya Timu bora

















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera sana vodacom kwa kutoa zawadi bila upendeleo. ni haki kwa kila timu kupata walichokipata. na kwa mchezaji bora mmetenda haki kabisa. ila mwakani ongezeni zawadi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...