

kwa menyu hiyo na nyingine kibao mtembelee Chef Issa
BOFYA HAPA
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu samaki huwa ana kamba kambasana sasa ngozi yake inachunwa au? tupe maujanaja hapa chef Issa bingwa la mahanjumati na maroroso mtamkoma walahi mwenyewe umejazia unapiga nondo nini? au misosiduh mkeo itakua anafaidi kweli mapochopocho kazi yako naikubali chef wangu.
ReplyDeleteChef Martin
Dubai
duh leo umeshusha mabo ya shurba bin upupu mhhhhh hii ni kiboko bwana maana nina siku nyingi sijapitia blog yako
ReplyDeletewachezaji wa taifa stars si wnakutana na brazili kesho kutwa mi naomba nao wanywe hii kitu itawaongezea umakini na kuwatandika wa brazili ili tusiwe kama kicha cha mwenda wazimu hahahahhaaaaaaaaa.... chef hii ya nyanya inaonekana safui sana si watu wa pwani bwana tunaizimia kichizi na kazi yake tunaikubali
ReplyDeleteblog yako ni safi na mafunzo ni safi sana
ReplyDeleteMdau
The hague
hureeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!! helo helo jamani pweza pweza wee kazi yake ogopa hiii supu kama huna pa kupumzikia basi acha utabaka inanguvu balaa na ni dakika 1 tu inajibu kai kweli kweli chef toa na warning watu tusije bakwa bureeee
ReplyDeletemdau kigamboni
sema tunatumia grama ngap maana ikizidi isije ikatutafutia kesi bure maana mziki wa hii suopu kazi ipo na umeweka viungio vyote kudadadeki ili mnywaji auwe kabisa shauri yako unawatafutia watu kesi we kijana
ReplyDeleteWATANZANIA WENZANGU YAANI NYIE MNAFIKIRIA NGONO TU NANI KAWAAMBIA SUPU HIYO INAFANYA KAZI HIYO? NI MAWAZO NA FIKIRA ZENU TU HAMNA KITU KAMA HICHO
ReplyDeletehiini supu yapweza au mtarimbo dorooooooooooooo maana hii ni ya kipwani pwani we chef utauwa watu lol lol
ReplyDeletekazi nzuri mola akujalie kijana ufikie malengo unayoyatamani inshaalah
ReplyDeleteMdau Oman
Haya mahanjumati au dawa ya kienyeji maana pweza hakopeshi ukila anataka mambo kama huna mwenza naelekea jiwe mhhhhhh
ReplyDeleteMdau greece
YONGU DINAMIC TALENTED TANZANIAN CHEF! I HAVE BEEN VISITING YOUR BLOG FOR SUCH A LONG TIME WITH GOOD IMPESSION WELL DONE, WAY TO GO KEEP IT UP CHEERS!!
ReplyDeleteMost well come at USDM when you come back home
Prof UDSM
kama uduvi vile jamaniau samaki mchele
ReplyDeletemichuzi unajua huwa tunasahau tukisha pitia habari hapa kuenda tena katika blog zingine ksaka mahanjumati inakua ngumu sasa kama kuna mapishi mapya we tujuze kisha tutajimuzisgha huko tukaangalie au we anzisha kakitengo kadogo hapahapa tuwe tunapata mahanjumati
ReplyDeletemdasu finland
TULIAAAAAAAA WEWE SIO KISAMVU CHA KOPO LOL CHA KWENYE CHUNGU KINA MBAAZI HAHAHAHA KUDADADEKI NA WALI.
ReplyDeleteWEWE TULIA HATA BABU PLAYBOY KULE MAREKANI ANAKUNYWA SUPU YA PWEZA HAHAHAH. MAMBO YA PWANI HAYO UMEKAA HUKO KATIKATI YA TANZANIA UTAJUWAJE PWEZA???? MAJI YA CHUMVI.
Michuzi weka Komenti zote bwana hahaha hayo mambo ya supu ya Pweza hata wanaotoka katikati ya mikoa wanaijuwa kazi yake kama mikono yake lazima ikamate kila sehemu kugusa ashindwe na alegee lol. alafu ipikwe na mwenyewe mpikaji mama nanihiuuu ayayaya. mzee wa kiminyio.
ReplyDeleteoooh aisee namependa saana huyu samaki/mdudu? sana yani
ReplyDeletenaenda dar kumnunua maana nshajua jinsi ya kumpika kupitia hapa lol
pweza vs prawns (so delicious)
ila kaka unapika mwisho,barikiwa