KWA WALE WASIOTUMIA NYANYA KWA MATATIZO YA GESI NA KIUNGULIA USIWEKE NYANYA YA KOPO NA SUPU YAKO YA PWEZA ITAKUA NA MUONEKANO HUU NA LADHA SAFI KABISA
SUPU YA PWEZA YENYE LADHA YA NYANYA NA LIMAO

kwa menyu hiyo na nyingine kibao mtembelee Chef Issa
BOFYA HAPA



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2010

    Huyu samaki huwa ana kamba kambasana sasa ngozi yake inachunwa au? tupe maujanaja hapa chef Issa bingwa la mahanjumati na maroroso mtamkoma walahi mwenyewe umejazia unapiga nondo nini? au misosiduh mkeo itakua anafaidi kweli mapochopocho kazi yako naikubali chef wangu.

    Chef Martin
    Dubai

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2010

    duh leo umeshusha mabo ya shurba bin upupu mhhhhh hii ni kiboko bwana maana nina siku nyingi sijapitia blog yako

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2010

    wachezaji wa taifa stars si wnakutana na brazili kesho kutwa mi naomba nao wanywe hii kitu itawaongezea umakini na kuwatandika wa brazili ili tusiwe kama kicha cha mwenda wazimu hahahahhaaaaaaaaa.... chef hii ya nyanya inaonekana safui sana si watu wa pwani bwana tunaizimia kichizi na kazi yake tunaikubali

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 27, 2010

    blog yako ni safi na mafunzo ni safi sana

    Mdau

    The hague

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 27, 2010

    hureeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!! helo helo jamani pweza pweza wee kazi yake ogopa hiii supu kama huna pa kupumzikia basi acha utabaka inanguvu balaa na ni dakika 1 tu inajibu kai kweli kweli chef toa na warning watu tusije bakwa bureeee

    mdau kigamboni

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 27, 2010

    sema tunatumia grama ngap maana ikizidi isije ikatutafutia kesi bure maana mziki wa hii suopu kazi ipo na umeweka viungio vyote kudadadeki ili mnywaji auwe kabisa shauri yako unawatafutia watu kesi we kijana

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 27, 2010

    WATANZANIA WENZANGU YAANI NYIE MNAFIKIRIA NGONO TU NANI KAWAAMBIA SUPU HIYO INAFANYA KAZI HIYO? NI MAWAZO NA FIKIRA ZENU TU HAMNA KITU KAMA HICHO

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 27, 2010

    hiini supu yapweza au mtarimbo dorooooooooooooo maana hii ni ya kipwani pwani we chef utauwa watu lol lol

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 27, 2010

    kazi nzuri mola akujalie kijana ufikie malengo unayoyatamani inshaalah

    Mdau Oman

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 27, 2010

    Haya mahanjumati au dawa ya kienyeji maana pweza hakopeshi ukila anataka mambo kama huna mwenza naelekea jiwe mhhhhhh

    Mdau greece

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 27, 2010

    YONGU DINAMIC TALENTED TANZANIAN CHEF! I HAVE BEEN VISITING YOUR BLOG FOR SUCH A LONG TIME WITH GOOD IMPESSION WELL DONE, WAY TO GO KEEP IT UP CHEERS!!

    Most well come at USDM when you come back home

    Prof UDSM

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 27, 2010

    kama uduvi vile jamaniau samaki mchele

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 27, 2010

    michuzi unajua huwa tunasahau tukisha pitia habari hapa kuenda tena katika blog zingine ksaka mahanjumati inakua ngumu sasa kama kuna mapishi mapya we tujuze kisha tutajimuzisgha huko tukaangalie au we anzisha kakitengo kadogo hapahapa tuwe tunapata mahanjumati

    mdasu finland

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 27, 2010

    TULIAAAAAAAA WEWE SIO KISAMVU CHA KOPO LOL CHA KWENYE CHUNGU KINA MBAAZI HAHAHAHA KUDADADEKI NA WALI.

    WEWE TULIA HATA BABU PLAYBOY KULE MAREKANI ANAKUNYWA SUPU YA PWEZA HAHAHAH. MAMBO YA PWANI HAYO UMEKAA HUKO KATIKATI YA TANZANIA UTAJUWAJE PWEZA???? MAJI YA CHUMVI.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 27, 2010

    Michuzi weka Komenti zote bwana hahaha hayo mambo ya supu ya Pweza hata wanaotoka katikati ya mikoa wanaijuwa kazi yake kama mikono yake lazima ikamate kila sehemu kugusa ashindwe na alegee lol. alafu ipikwe na mwenyewe mpikaji mama nanihiuuu ayayaya. mzee wa kiminyio.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 28, 2010

    oooh aisee namependa saana huyu samaki/mdudu? sana yani
    naenda dar kumnunua maana nshajua jinsi ya kumpika kupitia hapa lol

    pweza vs prawns (so delicious)

    ila kaka unapika mwisho,barikiwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...