Home
Unlabelled
libeneke la alama za barabarani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
IGA ALAMA UFE!!! HAHAHAHA UKIIGA TU UNAKUTANA NA MATIPA HAYANA BREAK PAAAAAA! SEIF.
ReplyDeleteKona kushoto, alama inasema kona kulia. Bongo, si mchezo. Haya ndo matatizo ya kuajili watoto wa ndugu zetu wasio hata na taaluma ya kile wanachopaswa kukifanya.
ReplyDeleteUjue hapo bosi wake kapita na kaona sawa tu na hata ukimpelekea hii picha bado atakupa sababu kwa nini iwe hivyo ingawa sivyo
Hii sasa kali!!! Duh ina maana aliyeweka hii alama alikuwa amelewa nini? Halafu miaka yote hii ndio sasa angalau kuna mtu amegundua? Ina maana hata madereva wengi huwa hawana muda wa kusoma halama za barabarani. Ila siwalaumu sna madereva nawalaumu Tanroads na Polisi kwani wao pia hawahakikishi halama zote zinazohitajika zipo barabarani kiasi kwamba madereva nao wanaona hakuna umuhimu wa kuzitafuta au kufuatilia. Hii ni hatari. Inaonyesha pia jinsi gani tusivyojali uhai wa raia
ReplyDeleteSASA WE UNAELEZA NINI?ALAMA IMEFANYA NINI?KWA UFUPI HIO ALAMA INAONYESHA KONA/BEND NA INA SIZE SAHIHI.KITU KIMOJA NITAKUKUBALIA UKISEMA MITI IMEKUWA SANA MPAKA INAFANYA ALAMA IWE NDOGO/ISIONEKANE VIZURI,KAMA WEWE NI DEREVA MAKINI HIO ALAMA UTAIONA TU.
ReplyDeleteKweli hilo ni libeneke maana hata mtumaji wa habari/picha haeleweki sembuse alama yenyewe?Au msukuma wewe(mtani wangu)maana hawajui kulia wala kushoto maana wanaweza kula na mikono yote!!Kutokana na usemi wako kama ni kwenda kulia hakuna tatizo lakini kutokana na picha ilivyo na uelewa wa sehemu unayoisema, kona ni kwenda kushoto na alama haiko sawa!
ReplyDeletekaka samahani natoka nje ya mada. nauliza hivi mbona hujatuhabarisha kuhusu msiba wa mc maarufu wa kitchen party dada chichi?acha ubaguzi wa habari au matangazo hulipiwa?
ReplyDeleteNi kichekesho tuu.
ReplyDeletepia mbona mchanga unazidi kujaa barabarani, au tusubiri mapaka maraHisi wa nji za nje waje kutumia sehemu hio ya barabara?
Bro, mimi ni katika wale watu wa mwisho mwisho TZ kupata driving licence yangu wakati bado vile vitabu vya (commonwealth) "Highway Code" vilikuwa vinapatikana Dar. Alama hiyo simply inamaanisha "sharp bend(s) ahead", yaani jihadhari barabara inapinda mbele, na si picha au taswira ya upindo huo. Endesha kwa usalama. Kawia ufike.
ReplyDeleteNa wewe hapo juu kwa kubold kote bado hujui kupronouce the word alama...sio halama...toa boriti kwanza....
ReplyDeleteKama na wewe ukiajiriwa kwenye kazi ya kuandika si utatupoteza hivi hivi
Hilo gari la Silver hapo juu, mbona kidogo lifanane na ile Ploton ama Pluton, sikumbuki vizuri. Gesi ilikwisha patikana? Naona linatembea barabarani.
ReplyDeleteNa hilo lijumba hapo kwenye picha ya pili, si haba.
Mdau wa alama za barabarani, Oyeeee!
hiyo sign kwa UK ina maanisha Double Bend, first to the right..sasa mleta habari/picha hakuonyesha kama kweli kuna double bend au la. kama hakuna then hiyo sign inabidi itolewe ili iwekwe inayo onyesha Single Bend to the Right..
ReplyDeleteHivi hiyo miti hapo sio hatari kwenu mtembeleao matako? Sisi kina Lunyas hatuna amani nayo, ila tunadhani ni hatari zaidi kwenu mabosi. Au poa tu?
ReplyDeleteNadhani madereva wakiona alama hiyo wataangalia barabara na kupunguza mbio. Labda hawakuwa na alama sahihi, lakini lengo lilitekelezwa si ndiyo?
ReplyDeletehahahaaa
ReplyDeletehilo ni tatizo kubwa la ndugulation, limtu hajijaqualify kupewa kufanya kazi hiyo, na linapewa kazi, inaboa sanaaaaaaa, wasomi kibao tunasota kitaani. watanzania tusiendekeze urasimu tunajimaliza wenyewe, tujali uhai wetu, wazungu wasema golden chance never come twice. asante by mdau.
ReplyDeleteALAMA HIYO HAINA SHIDA WALA BARABARA , INA MAANISHA MBELE KUNA KONA MBILI YA KWANZA KULIA NA NDIVYO ILIVYO....MSIBWABWAJE NINYI WA TZ VIP? DO A RESEARCH KWANZA,,,,,AIBU HII
ReplyDelete