Home
Unlabelled
usafiri kafiri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watu wanalazimika kupanda malori kwa kuwa hakuna usafiri mbadala. Mtu hawezi kupeleka magari ya abiria sehemu ambako hakuna barabara. Sertikali iboreshe barabara hadi vijijini na haya mambo ya kusafiri kwa malori yatapungua.
ReplyDeletemuwapelekee mabasi sio mnalalama tu au mkae kimya kama hamuwezi kupeleka usafiri mnaoutaka ninyi
ReplyDeleteDuu! Bado kuna Scania 81 barabarani!
ReplyDeleteAisee, hilo Scania 81 liko bomba sana. Hiyo ni collector's item na mmiliki wake anaweza kupata pesa nyingi sana akiliuza Ulaya kuliko kulitumia kubebea watu vijijini Bongo. Sitashangaa kama Wazungu wataanza kulifuatilia lori hilo kupitia blog hii.
ReplyDeleteKwako ANONY: 09:54:00 PM
ReplyDeleteNdani ya bongo hiyo inaweza kuwa cabin ya Scania, chassis ya Leyland DAF na injini ya Volvo.
Kwa hiyo kimsingi, ili mradi inatembea, usisome nembo ambao unaweza kuwa urembo tu.
Shida ndiyo inafanya watu wakubali kupanda gari kwa mtindo kama huu wa kwenda mnadani.
Hii ni advertisement nzuri sana kwa SCANIA, wewe unaezungumzia malori kupigwa marufuku kubeba abiria umezaliwa Manzese nini? Hivi hujui Tanzania hii kuna sehemu mabasi au whatever magari ya abiria mnayoyatumia mijini hayaendi? Malori haya ndio option pekee ya usafiri, tena huko kuzuri kuna barabara, kuna ambako hata mashine kubwa kama hizo hazifiki. Umeshakusikia Lyamba lya Mfipa wewe? Na Makongorosi je...!? Acha bwana, Tanzania sio Dar Es Salaam tu, tembea uone.
ReplyDeleteKwa kumjibu Anony wa Tue May 25, 12:39:00 AM, nina hakika hili ni Scania 81 baada ya kuchunguza ‘axle’ ya mbele. Hata hivyo, lori hili nyuma limefungwa ‘axle’ ya Liaz. Hapa hakuna cha kushangaza kwani aina hii ya usafiri ndio inayotumika sehemu nyingi za Bongo. Kupiga marufuku malori kubeba abiria ni agizo lisilotekelezeka Tanzania kwa sasa na hata wakubwa wanatambua ukweli huu.
ReplyDeleteHawa ni wauza nguo wakielekea au kutoka kwenye minada ya vijijini, huko Singida ndo usafiri wa wauza nguo minadani.
ReplyDelete