Chairman TA taifa Dr Lusingu akiwafafanulia jambo viongozi hao.Balozi wa Tanzania Uingereza Mama Maajar akutana na viongozi wa TA UK taifa pamoja na mikoa kuzungumzia shughuli za jumuiya hizo na maendeleo yake. Mazungumzo hayo yalifanyika nyumbani kwa balozi wikiendi iliyopita.
Viongozi wa Tanzania Association UK wakiwa katika mazungumzo hayo




Samahani jamani kazi mtaanza lini kila siku mapicha tu.au ni umoja wa kupiga mapicha tu.
ReplyDeleteOne for the Money; Two for the SHOW; Three to get the Honies; here we GO...
ReplyDelete... Macho yanachekaaa, Moyo unalia, Macho yanzchekaaa, Moyo unaliaa ...
ReplyDeleteIngawa siujui ufanisi wa balozi mwanaidi kwa undani,ila kitu pekee aambacho nampongeza ni kuiwezesha jamii ya tanzania kuwa kitu kimoja,natumaini hiyo post yake mpya ya marekani ataweza pia kuwaleta watanzania pamoja.
ReplyDeleteNA WEWE PICHA YA PILI TOKA JUU ULIEVAA KITENGE,HIZO POZI ZA PICHA NI ZA KIZAMANI,RELAX AND BE YOURSELF
MDAU ISTANBUL
Hongera sana dada Hon Mwanaidi Maajar.Unaonyesha hasa nini balozi anatakiwa kufanya kwa wananchi wa kwao.
ReplyDeleteKuna mbalozi wanajifungia na hawataki hata kuwaona waTanzania wenzao wakifikiri wanakuja kuwakopa.
Kubadilishana mawazo ni muhimu
Swali kwa wahusika wa TA na Balozi:
ReplyDeleteNi kipindi kirefu kumekuwa na mikutano mingi sana mnayo ifanya kila siku ambapo kila siku mpo mbele ya public, 1:Je ni maendeleo gani mmeifanya mpaka sasa kutokana na hiyo Mikutano?
2: Je nini ni plan yenu kwa kipindi kirefu na cha muda mfupi?
3: Je TA imesaidiaje Watanzania waliopo UK wakiwa na matatizo? Hii ni kwa ujumla na sio kwa wale mnao fahamiana. Na ni kipi mmefanya kusaidia Jamii ya Tanzania?
4: Je TA inaruhusiwa kufanya shughuri zake UK na ktk kifungu gani cha sheria? Je mmesajiliwa na kuendesha shughuri zenu?
5: Ukilinganisha malengo ya TA, Je hiyo sio sawa na baadhi ya kazi za balozi za kuweza kuhakikisha Mtanzania wa nje anasaidiwa pale kwenye shida?
6: Balozi, Hauna kazi nyingine muhimu za kufanya kila siku badala ya kukutana na watu wale wale kila siku bila ya kuona matunda au matokeo yake? Kile kinacho zungumzwa leo kwanini kisi-ongelewe jana? kwa sababu aims na objectives zenu zote mnazijua badala ya kupoteza muda na pesa kila siku!
USHAURI:
TA - Mnabidi muweze kukaa chini na kujiuliza nini mnataka kufanya? Nini mnataka kufikia ndani ya muda fulani, je kuwasaidia Watanzania au Kupiga Picha na Balozi kila siku?
Muondoe ukabira na kujuana ndani ya chama chenu, Kila mtu awe sawa na kusiwepo matabaka.
BALOZI - Kuna mambo mengi ya kufanya kuweza kuleta maendeleo nchini Tanzania na kuwasaidia Tanzania kwa ukweli na uwazi na sio kupoteza muda kila siku. Swali, Katika mwaka uliopita 2009, Kuna Investors wangapi toka Uingereza walikuja Tanzania kutokana na mikakati ya Balozi? Je kwanini msipunguze upotezaji wa muda wenu muhimu katika kuweza vitu kama hivyo???
Ni Ukweli, Uwazi, na hakuna cha ku
fichwa.
Michuzi ukibana hii msg utajiju ila ndio ukweli.
Barozi: Tumesha kupiga Piichaa
ReplyDelete