Chairman TA taifa Dr Lusingu akiwafafanulia jambo viongozi hao.Balozi wa Tanzania Uingereza Mama Maajar akutana na viongozi wa TA UK taifa pamoja na mikoa kuzungumzia shughuli za jumuiya hizo na maendeleo yake. Mazungumzo hayo yalifanyika nyumbani kwa balozi wikiendi iliyopita.
Viongozi wa Tanzania Association UK wakiwa katika mazungumzo hayo
Mama Balozi Mh. Mwanaidi Maajar akibadilishana mawazo na viongozi hao wa TA

Viongozi kinamama wakishiriki katika mazungumzo hayo
Balozi Mwanaidi Maajar akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa matawi yote ya TA





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2010

    Samahani jamani kazi mtaanza lini kila siku mapicha tu.au ni umoja wa kupiga mapicha tu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2010

    One for the Money; Two for the SHOW; Three to get the Honies; here we GO...

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2010

    ... Macho yanachekaaa, Moyo unalia, Macho yanzchekaaa, Moyo unaliaa ...

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2010

    Ingawa siujui ufanisi wa balozi mwanaidi kwa undani,ila kitu pekee aambacho nampongeza ni kuiwezesha jamii ya tanzania kuwa kitu kimoja,natumaini hiyo post yake mpya ya marekani ataweza pia kuwaleta watanzania pamoja.
    NA WEWE PICHA YA PILI TOKA JUU ULIEVAA KITENGE,HIZO POZI ZA PICHA NI ZA KIZAMANI,RELAX AND BE YOURSELF

    MDAU ISTANBUL

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2010

    Hongera sana dada Hon Mwanaidi Maajar.Unaonyesha hasa nini balozi anatakiwa kufanya kwa wananchi wa kwao.
    Kuna mbalozi wanajifungia na hawataki hata kuwaona waTanzania wenzao wakifikiri wanakuja kuwakopa.
    Kubadilishana mawazo ni muhimu

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 12, 2010

    Swali kwa wahusika wa TA na Balozi:

    Ni kipindi kirefu kumekuwa na mikutano mingi sana mnayo ifanya kila siku ambapo kila siku mpo mbele ya public, 1:Je ni maendeleo gani mmeifanya mpaka sasa kutokana na hiyo Mikutano?

    2: Je nini ni plan yenu kwa kipindi kirefu na cha muda mfupi?

    3: Je TA imesaidiaje Watanzania waliopo UK wakiwa na matatizo? Hii ni kwa ujumla na sio kwa wale mnao fahamiana. Na ni kipi mmefanya kusaidia Jamii ya Tanzania?

    4: Je TA inaruhusiwa kufanya shughuri zake UK na ktk kifungu gani cha sheria? Je mmesajiliwa na kuendesha shughuri zenu?

    5: Ukilinganisha malengo ya TA, Je hiyo sio sawa na baadhi ya kazi za balozi za kuweza kuhakikisha Mtanzania wa nje anasaidiwa pale kwenye shida?

    6: Balozi, Hauna kazi nyingine muhimu za kufanya kila siku badala ya kukutana na watu wale wale kila siku bila ya kuona matunda au matokeo yake? Kile kinacho zungumzwa leo kwanini kisi-ongelewe jana? kwa sababu aims na objectives zenu zote mnazijua badala ya kupoteza muda na pesa kila siku!

    USHAURI:

    TA - Mnabidi muweze kukaa chini na kujiuliza nini mnataka kufanya? Nini mnataka kufikia ndani ya muda fulani, je kuwasaidia Watanzania au Kupiga Picha na Balozi kila siku?

    Muondoe ukabira na kujuana ndani ya chama chenu, Kila mtu awe sawa na kusiwepo matabaka.

    BALOZI - Kuna mambo mengi ya kufanya kuweza kuleta maendeleo nchini Tanzania na kuwasaidia Tanzania kwa ukweli na uwazi na sio kupoteza muda kila siku. Swali, Katika mwaka uliopita 2009, Kuna Investors wangapi toka Uingereza walikuja Tanzania kutokana na mikakati ya Balozi? Je kwanini msipunguze upotezaji wa muda wenu muhimu katika kuweza vitu kama hivyo???


    Ni Ukweli, Uwazi, na hakuna cha ku
    fichwa.

    Michuzi ukibana hii msg utajiju ila ndio ukweli.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 12, 2010

    Barozi: Tumesha kupiga Piichaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...