
Vodacom Tanzania( Vodacom Foundation)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HAPO MWAMVITA AMECHOMEKEA CCM KWA KIAINA, VODA IANGALIE ISIJE IKAWA YA CLOUDS FM NA UCCM.
ReplyDeleteHongereni Voda. Mkurugenzi wa Voda mbona kavaa ze fulana ya rangi za Tigo tena katika tukio la kivoda zaidi?! Au ndio Fair Play? Poa lakini.
ReplyDeleteSahihisha jina la kaimu mkurugenzi, ni "NGUVU KAMANDO" na siyo mbuvu.
ReplyDeleteNguvu tunakumiss mazoezini Dar jumamosi asibui, all the best.Tupo pamoja
ReplyDeletesamahan kwa umbeya hebu nisaidieni...huyu modo ndio mtoto wa mr makamba wa ccm..aka mcharuko wa ccm...?
ReplyDeletekuna mambo mengi serekali lazima hione haibu hivi serekali hina shindwa kujenga shule nzuri tanzania kote. wangepunguza safari za kwenda ulaya ,mishahara yao na ufisadi. tusingekuwa na shule vibanda kwani hivi ni vibanda vya kusomea si shule. Africans hatupo serious .hivi nikipi tunachoweza kufanya kwa ufasaa ???
ReplyDeleteHEEE KUMBE MWAMVITA YANGA DAMU,WANYAMA WA MSIMBAZI HAWAIPENDI HII,LAKINI HABARI NDIO HIYO,YANGA OYEEE,SIMBA WAZEE WA MISRI MMMM!
ReplyDeleteMDAU ULIYESEMA ETI KAVAA THE FULANAS RANGI YA TIGO HAPANA HIYO NI RANGI YA YANGA NA YEYE NI MWANACHAMA WA YANGA,SO ANAWAKILISHA CHAMA LAKE INGAWA MZEE MAKAMBA NI MNYAMA DAMU
ReplyDeleteHuyo modo sijui mwavita kwa kweli amesuuza roho yangu,she is real real raealy cute...kama hajaolewa au ana mpango wa kumbwaga chini bwana yake niko tayari kutoa kifuta jasho kwa atakayenisaidia kumpata maana niko busy sana na kubeba box.
ReplyDeleteDavo Goti hiyo aliyo vaa mwanvita ni Jezi ya timu ya Africa ya kusini aka bafanabafana,ukizingatia Vodacom ni kampuni ya south africa upo hapo kwani huku kila ijumaa wafanyakazi wanavaa jezi hizo kuwasapoti timu yao upo sio rangi za Tigo
ReplyDeleteMwamvita siku hizi anapendeza. Yaani super model haswa. Halafu pia anafanya vitu vinavyoeleweka katika maisha. Kwa kweli kwa umri wake mdogo kuwa Mkurugenzi, si kitu kidogo. Hongera sana.
ReplyDeletemhhh kaka MISUPU huyo Mwamvita nikimuona dah napata Kigugumizi.
ReplyDeleteMdau -Ukerewe!!!
BAFANA-BAFANA
ReplyDeletekazi kweeli
kampuni za simu wizi mtupu!!kwa zamu tu
HATA MIMI NIKIMUONA HUYU MWANADADA SIO SIRI NAPATA KIGUGUMIZI CHA UKUBWA!
ReplyDeleteJamani hiyo siyo yanga ni bafanabafana
ReplyDeletekwani hamjui voda com ni sauzi?Na sasa ndiyo kipindi cha fulanasi!