Home
Unlabelled
vodacom watoa msaada katika kituo cha watoto yatima mbagala chamanzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii nimeipenda zaidi, kuliko ile ya kuwapelekea sukari, unga, sabuni n.k. ambazo zitatumika kwa siku chache au wiki moja tu. Kuwasaidia kubuni miradi kama huu wa bustani unawasaidia sana sana hawa vijana. Kwanza wanajifunza kujitegemea, wanajifunza namna ya kuzalisha mali, na pia wanazalisha chakula cha siku nyingi kidogo.
ReplyDeleteMay God bless you Vodacom
Vodacom, mkumbuke basi na yatima wengine wako kigamboni huko vijibweni, yaani hao ndio wanahitaji hasa msaada tena wa haraka. nio watoto wadogo, idadi yao haipungui 60manake misaa yote inaishia huku, nendeni na vijibweni jamani mkawaone hao yatima ninao wazungumzia, wanasikitisha mnooooo!!
ReplyDeleteSawa Jofrey wakilisha wana kawe,safi sana kukuona hapo,mdau ughaibuni
ReplyDelete