Meneja wa M-Pesa Mkoa wa Dares Salaam Moses Krom(kushoto) akimkabidhi Fadhil Mohamed(kulia) mkazi wa mbagala simu ya mkononi baada ya kushinda kujibu maswali ya kombe la dunia kwa njia ya SMS inayoendeshwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania,wapili kutoka kushoto Meneja wa duka la Vodacom Mbagala Beatrice Simkoko,Msimamizi wa Mauzo wa Vodacom Dares Salaam Saimon Mwambapa.
Mshindi wa Vodacom Tanzania wa kujibu maswali ya Kombe la Dunia kwa njia ya SMS Fadhil Mohamed,akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania mara baada ya kukabidhiwa Simu yake ya Mkononi kwa kuibuka kuwa mshindi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...