"Dear God, this month please send clothes to all those poor naked ladies in Daddy's Cell phone, & build shelter to the homeless men who sleep with mum when dad is at work Amen..."

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2010

    Hahaha! nimecheka sana,maskini mtoto hapo wazazi wake utulivu sifuri.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2010

    anaye yali ni Mwandishi,,, au huyo mtoto kwenye picha,,,

    Mdau Canada.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2010

    Kwa ushari tu kwa Michuzi, hii picha na maneno au ujumbe huo chini ambayo mtoto huyo amewazi wa mutu au watu wakubwa vingesingetakiwa kuwepo hapo.Ingekuwa inchi nyingine zenye kumfuata misingi bora na haki za watoto, tayari kungekuwa na patashika juu ya mtu aliye post hii picha na ujumbe huu. Pia michuzi ungeweze kujibu kitimutimu chake. hivyo nashauri tu kuwa ingawa sisi watanzania tunaona nikichekesho lakini watu wengine wanaweza pata maana tofauti.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2010

    Hahaha! Hapo ni Bila Bila.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 08, 2010

    Yaani kwanza ungeweka pcha kama hii TMZ na ujumbe wa hivyo . Bill oreilly angekutafuta akipokelewa na Glenn Beck , Hannity akikusubiria na Rush Lumbaugh ndio angeleta habari

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 08, 2010

    huyo mchangiaji hapo juu aliyesema ingekuwa nchi nyingine hiyo post ingekuwa kesi , mi nadhani huo ujumbe umemgusa.. messages delivered...

    acheni mambo hayo kufanya ... hamtosheki!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 08, 2010

    Naungana na mdau wa 3 hapo juu. The little kid is so innocent, she can't even thinks like that! Kwa mtoto malaika kama huyu angeomba labda watoto walio maskini Mungu awape chakula au mavazi ingeleta maana zaidi. Jamani, jaribuni kuoanisha mambo, siyo kila kitu ni kichekesho tu!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 08, 2010

    Haloooooww MTAJIJU kama inachekesha au haichekeshi ,kama inawauma jinyongeni mfe, MICHUZI usiwasikilize hao inaonesha MESSAGES DELIVERED... NA SIO PENDING

    nimeipenda kweli hii

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 08, 2010

    Guys, where is ur sense of humour!!?

    Aliyepost alikuwa anataka kufikisha ujumbe kwa njia ya kuchekesha kidogo. Mimi sioni kosa lolote katika hiyo post bali ni kwamba tu inatupa changamoto kwani alichokisema kinatokea sana katika familia zetu.

    Asante mdau, ujumbe umefika. Inatubidi tujirekebishe

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 08, 2010

    Baadhi ya wachangiaji wanasema watoto ni innocent (kweli) hawawezi kufikiri kwa upeo huo (sio kweli). Watoto wanafikiri sana usidhani ufikiri wao ni mdogo. Jaribu kushinda na mtoto wa kuanzia miaka mi tatu hivi siku nzima halafu usikilize na kutafakari kila anachoongea.. vingine labda usingetegemea kusikia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...